Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Haahahaaa, pole sana Mkuu ila tunaheshimu maandishi na maelekezo yako.
Mamamamae na tunawakuta baada ya mechi 4 tutakuwa sawa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Anfield imebomoka!
Draw muipate wapi ni kipigo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani na hii tulitoka draw, kwaheri ubingwa!
Maombi yenu yamejibiwa. Nobody should blame anybodyHii game tukishinda Matusi watakayomiminiwa Salah na Firmino sio ya Nchi hii.
Miongoni mwa kauli zitakazoibuka ni:-
- Asipocheza Salah tunashinda => As If leo ni ya kwanza kushinda.
- Tumeshinda kwasababu Bobby na Salah hawakucheza.
Tusiposhinda hawa waliopongeza leo watabadili gia angani na kusema kinyume chake
Mamamamae na tunawakuta baada ya mechi 4 tutakuwa sawa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]