Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Mi achukue hata Spurs poa tuu ila Manchester United hapana nasema kwa herufi kubwa HAPANAMkuu Penison yuko Sahihi sana sababu Man Utd ni maadui wakubwa maadui pacha pamoja na Everton dhidi ya Liverpool
Sisi Anfield hatuna uadui na Man City , the same to Arsenal,Chelsea,Spurs
Mpaka tunasema hivi ingawa ni washabiki wa LFC ni sababu nyi wenyewe mnaona kocha (Klopp) anachotufanyia pale Klabuni