M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,030
At the same time, kwa upande wa pages pia tume hit 5,000 landmark.Happy Kop day kwa Uzi wetu pendwa kufikisha Comments 100,000.
YNWA
At the same time, kwa upande wa pages pia tume hit 5,000 landmark.Happy Kop day kwa Uzi wetu pendwa kufikisha Comments 100,000.
At the same time, kwa upande wa pages pia tume hit 5,000 landmark.
YNWA
FSG wafanye maamuzi haraka ya kumsaport Klopp kwenye usajili kabla hatujafika kwenye point of no return.
Hiyo unaita manure iko nafasi gani kwenye ligi?Hawa liverpool walikuwa na nafasi nzuri zaid ya kushinda lakini wamekubali kulazimishwa draw na timu kama manure
Huu ni udhaifu mkubwa kwa kocha kama klopp..
Inaonesha front yao yani Mane, Salah, na Firmino ni butu kwa sasa..
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huwez tangaza ubingwa wkt msimu haujaisha. Sion logic hapoUkiona mtu anasema Pundamilia ni mabingwa huyo mtu ni wa kumuacha tu na kumuonea Huruma.
Hongereni, mjitahidi mtatufikia na sisi Man UnitedNa mnamo miaka ya 2015 Uzi wa Liverpool tulikuwa tunakimbizwa na Nyuzi za Arsenal na Chelsea kwa mbali sana! Lakini sasa tunawakimbiza wao Hii yote ni kuonesha many of them how Plastic Fans they are isipokuwa wachache tu.
Walisapoti Timu zao wakati wa Mafanikio lakini kila wanapoona kiza kinatanda mbele yao ndiyo wamezikimbia Timu zao! Huenda wengine wameibuka na ID nyengine za kujifanya Wapenzi wa Man City na Liverpool.
Na hapa wapo Plastic Fans waliohamia baada ya Kuja Klopp, hali tuliyonayo ikiendelea baada ya miezi 6 tu watatoweka.

Aisee dogo naona msimu huu anachemka sana...Firmino kazingua sana.
Karibu MANCHESTER CITY Mkuu ,Huku Beki sio Henderson.Aisee dogo naona msimu huu anachemka sana...
Cha kusikitisha hua sio mbinafsi lakini jana ulimuona mahala pa kutoa pasi analazimisha goli...
Manchester City taa limewaka msimu wao huu sioni kwa hali ilivyo kwetu hata tukimsogelea...
Klopp anasema ina imani na vijana wake magoli yatakuka ila lini hata sijui...
Salah na Firmino ipo tatizo kubwa kwao.. Wamesinzi kabisaaaa..
YNWA
Shukrani nadhani gemu ijayo magoli yatapatikana na pazuri lazima apatikane mshindi siku hio..Yes,Karibuni OT..
Karibu MANCHESTER CITY Mkuu ,Huku Beki sio Henderson.
Hahaha Mkuu mpe hae Pep mwambie kazi yake naikumbali...Karibu MANCHESTER CITY Mkuu ,Huku Beki sio Henderson.
Siku hizi humu hakuna stiki kama zamani na pia tumepata plastic fansNyinyi Liverpool PEP nendeni, sisi Liverpool HALISI tutabaki tunashikamana na timu yetu hii ya kina Firmino waliochoka na kocha Klopp aliyeamua kuwakumbatia.
Hahaha baada ya Don Clericuzio kusajiliwa rasmi Halisi naona sasa wahamishia nguvu kukunasa kabla dirisha la usajili halifungwo...Machache niliyoyaona kwenye game ya Jana:-
- TAA lazima aongeze bidii kwenye ubunifu, uchezaji wake kwa sasa hauridhishi.
- Bobby ni completely finished tuondoshe false hope za kuwa atarudi mchezoni.
- Salah has no more football brain, he's headless chicken.
- Mane anacheza na mpira some kind ya version ya Zaha anafanya kazi kubwa lakini end product ni meaningless.
- Pogba amepoteza uwezo kwa kiasi kikubwa sana na hachezi mpira wa Mtu mwenye furaha, njia pekee ya kurudi mchezoni ni nje ya Man United.
- Bruno ni wa kawaida sana without diving and penalty spot, Jana ameshindwa kabisa kuendana na mchezo.
- Origi no more type ya Liverpool player.
- Gini toothless tiger can play 90' minutes with single danger to our opponent.
- Milner ni Bulldozer.
Klopp he's in difficult time to be honest
Mkuu hujamuelewa Penison, hapo anamaanisha tukikosa Ubingwa Bora kuishabikia Mancity kuliko Mwantesa United wachukue kombeHahaha Mkuu mpe hae Pep mwambie kazi yake naikumbali...
Mie kwa Majogoo sitoki ng'o kama sikutoka kipindi cha nafasi zileee 6 mpakab12 itakua sasa tupo juuu japo kama tunashuka ila Big 4 tumoooo..
YNWA

Siku hizi humu hakuna stiki kama zamani na pia tumepata plastic fans
huko nyuma kulikuwa na fimbo za kutosha
kuna watu walikuwa na wachezaji tena U20 (teixeira) na walikuwa wanapendwa balaaa ndo maana Malafyale anaonekana mkorofi ila wale watu wagumu wa kipindi kile ni wapenzi wasomaji.
Ni kweli tupo kwenye form mbaya ila tutatoka cha msingi tubakie top 4 tu
Heri ya mwaka mpya
Tuuze Salah na gini tupate helaUsajili unaohitajika kwa sasa:
- One Winger: Huyu ataungana na Jota na Mane kwa mfumo huu=>
MANE - JOTA - NEW WINGER
Salah aruhusiwe kwenda huko anakotaka coz kwa tetesi ninazozisikia sikubaliani na kumshikilia mchezaji asiye na furaha hata kama ni Messi.
- One AM: Huyu atashirikiana na Fabinho na Thiago kwa mfumo huu=>
Thiago - Fabinho - New AM
Gini aende huko Barcelona anakokutaka.
- On CB: Huyu atashirikiana na VVD then Gomez na Matip (Kama atakuwepo) watakuwa ni sehemu ya Depth kwenye ulinzi Coz Gomez namba 2 na 3 anaweza kucheza vizuri tu.
Note: Hao niliowataja sio squad players but wawe ni regular players, mpaka hapo basi tayari tutakuwa tumeshasolve matatizo yetu.
Nimefurahi umeonaTuuze Salah na gini tupate hela
Tufanye updates Kama ya Allison na vvd
Salah yuko too soft(haya ni madhaifu yake huyu simhukumu kwa hilo sababu ni kama maumbile) ila kiwango cha Salah kimeshuka sanaNa kwako pia mkuu.
Unajua hili swala la ukame wa magoli siyo la leo, ni toka game ya Watford, tukapigwa na Atletico, tukaenda corona, kurudi kila mtu akawa anajipigia tukajitetea ni kwa sababu ya ubingwa tumeshachukua.
Tumeanza ligi Mpya, Salah akawa anakosa 5 anapata 1, Firmino akapotea, Mane naye ikawa ni leo yupo heri kesho hoi. Jota akafufua matumaini mpaka ikaanza kampeni ya amweke benchi Firmino, kocha akawa hataki. Jota akala msumari, maisha yakawa haya.
Kwa mwendo huu sioni kama Firmino atakuja arudi tena, nisamehewe pia kusema Salah maisha ya Liverpool yanaelekea mwisho (kwa mtazamo wangu).
Tusipochanganya hiki kikosi na watu wapya (Bora), huu utakuwa mwisho wa utawala wetu mfupi.
Mkuu Penison yuko Sahihi sana sababu Man Utd ni maadui wakubwa maadui pacha pamoja na Everton dhidi ya LiverpoolMkuu hujamuelewa Penison, hapo anamaanisha tukikosa Ubingwa Bora kuishabikia Mancity kuliko Mwantesa United wachukue kombe![]()