choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,089
Wkt ManCity anatushusha nafasi leoSio mbaya
We nae ka falaLiverpool HALISI vijana bado wanapambana sana,tusiwe na wasi wasi na team
In Klopp we believe
Kumbe we Liverpool mwenzsngu?Wkt ManCity anatushusha nafasi leo
Mana kuwashinda Crystal Palace ni given/Pi
For the first time Liverpool hawashindi wala kufunga goli mechi nne mfululizo
Ndani ya miaka minne
Huu msimu msipobeba hata Europa basi hamutabeba chochote misimu inayofata..Kuifunga manchester united hiyo ni ngumu.
Jitahidini musitoke nje ya top 4.
Trend yenu inazidi kushuka sana ..klopp kiburi kimemjaaMathematically tupo nafasi ya 3 sasahivi (Ondosha Lesta weka City).
Tukifungwa tupo wa 4
Ni vurugu tosha..ila bingwa anaeza kuwa Leicester City ..kwa hesabu zangu za chapchapAisee mkipigwa na nyumbu leo top four mnaanza kitafuta kwa manati kudadekii
Epl ni vurugu
Yani ni takataka tupu..Hakuna timu hapa
#COYG
#COYG
Hata hilo moja mumeshindwa kupata.Kuna goli mbili hapa.
Nyie chelsea mkiwa wapi wakati huo? Halaf unawafokea liverpool. Uliwafunga ww?Looserfools unashindwa kuifunga manure halafu unategemea uwe bingwa?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wamebaki kulialia tu mara Jota... Mara sijui nani.... Wanasahau hata kama Wana Salah , Mane na Firmino[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].... Mtawataja mpaka marehemu akina Dirk Kuyt, Benayoun , Gerrard,
Four straight loses to come!4 straight draws.... Damn!
Nyumbu wameongoza ligi misimu kibao huko nyuma. Sasa maajab ni yapi hapo?Nyumbu hawa ndiyo wanaongoza League kweli? Maajabu kweli hayaishi.