Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mind game ndugu..

Niliona mechi yao dhidi ya Citizens na kiukweli walikamatika no spark anywhere to unsettle Pep boys sasa hivi lazima awajenge kisaikolojia vijana wake ili wasije poteana...

Asikwambie mtu ndugu Anfield tangu atue Klopp panatisha EPL yaaani kuchomoza na pointi inabidi pinzani wajipange...

YNWA
Kama westbrom?
 
Hawa Man u sina wanauzi wao huku ni jamii ya Liver tu tunajadiliana mambo yetu ya ndani sasa mbona wamevamia kwetu huku watu wastaarabu tu hapa.
 
1. Alison Backer

66. Trent Alexander Arnold 32. Joe Matip 3. Fabinho 26. Andrew Robertson



14. Jordan Henderson 6. Thiago Alcantara 23. Xherdan Shaqir



11. Mohamed SALAH 9. Roberto Firmino 10. Sadio Mane
 
1. Alison Backer

66. Trent Alexander Arnold 32. Joe Matip 3. Fabinho 26. Andrew Robertson



14. Jordan Henderson 6. Thiago Alcantara 23. Xherdan Shaqir



11. Mohamed SALAH 9. Roberto Firmino 10. Sadio Mane
Hii mechi yetu Liverpool vs Manchester penalties tutaanglia kwa live stream gani kupitia sm?
 
Liverpool vs Man United tonight.

Prediction: none from me. It hinges around the matchday form of either or both of Mane and Salah.

Why am I saying this?

Kwa kuwa Manure wapo juu yetu katika msimamo wa ligi, am sure Masai amepanga kuja Anfield leo kutu frustrate tu kwa kupaki a 40-feet container ili abahatishe kutuvizia kupitia kwa yule digidigi wake Rashford. Masai hana guts za kuja ku attack Anfield!

Kwenye MF Fernandes atakuwa shackled completely na kina Gini. I predict it to be a dull affair because of Manure's negative approach.

Our strikers will get those few chances but De Gea atakuwa stumbling block. It could need one of Mane's or Salah's magical run to break the deadlock - if they will be in form as I have mentioned above.

Alisson most likely to be a spectator tonight. That however doesn't mean he wont be tested or even concede.

Too close to call, this one!
 
Jambo la pekee sana na la kufurahisha ni kwamba timu nzima ya manure kuanzia wachezaji, uongozi wa timu, wapenzi na mashabiki wanajua kabisa hii mechi wanaenda kupigwa sema tu wanajiandaa kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa
 
Halafu hakuna jambo zuri, la kufurahisha na lenye mvuto katika maisha kama kumpiga Shetani
 
Kama westbrom?
EPL ilivyo ndugu hata hio pointi moja ya Westbrom kwa sasa inakuweka pazuri....

Msimu wa 2018 2019 Manchester City walipata ubingwa kwa pointi 98 huku sisi tukipata pointi 97.. Hivyo pointi moja ina umuhimu wake kunako kusaka ubingwa


Hali ishakua sio hali..

YNWA
 
Amani iwe nanyi hapa jukwaani. Leo tuna game ambayo nilazima kushinda ili kuirudisha timu kwenye reli. Tumepoteza au kutoa sare kwenye game ambazo tulipaswa kushinda. Big Shaq anapaswa kuanza leo Kyle mbele Julia then Mo asimame pale mbele Kama forward badala ya Bobby firmino.

Mid waanze gini na Jones Kule mbele then Thiago abaki hapa nyuma akisadiwa na kiraka fabby kudhibiti mashambulizi. My boy robbo hajawahi kuflop huyu jamaa awe ndio mwanzisha move huku kushoto Kama ilivyo kwa TAA Kule kulia.
Kama ikitokea tukapoteza hii game moral kwa vijana itapungua na sidhani Kama tutakuwa kwenye mazingira mazuri kwa ajili ya kutetea ubingwa wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom