Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu unasahau jambo moja muhimu sana, kwanza hatukufanya replacement ya Lovren alivyoodoka hivyo bado kuna nafasi ya moja pale ya kununua backed by actual data bettering whats we have in this young boys we have in Billy the boy, Williams and Nathan...

Pia ukumbuke huyu Nathan alishaambiwa ni surplus to requirement yupo kikosini kwa vile uhamisho wake kwenda ujeremani ulishindikana sababu ya muda.. That tells Klopp dont value his long term presence at the back...

Uzuri wa kununua hawa below 25yrs inakua na advantage ya kucheza na VVD akiwa kwenye peak hivyo na wao kupata immense guidance.. Inakua Rebuilding ya Klopp gradually taking shape...

Pale mbele Rebuilding alishaanza na Jota hivyo taratibu na kwingine kutakaa sawa..

Its proven beyond doubt Gomez and Matip ni prone to injury perhaps Klopp has decided to act now apate solution ya this once and for all...

YNWA
Sawa kwa maana waliopo si tegemeo tena kutokana na majeruhi

Watatiwa sokoni msimu ujao kwa maana wakiwa fit kuwaweka benchi na wakaridhika nkazi
 
Ingawa tunasema ni Farmers League lakini SG anastahiki pongezi

Rangers open up 19-point lead on Celtic after Old Firm win
Jan 02 2021

Steven Gerrard's Rangers are 19 points clear at the top of the Scottish Premiership

Glasgow (AFP) - Rangers took another huge step towards ending Celtic’s grip on Scottish football as Callum McGregor’s own goal gave Steven Gerrard’s men a 1-0 win in Saturday’s Old Firm derby.

The victory over their Glasgow rivals gave Rangers a massive 19-point lead at the top of the Scottish Premiership.

Celtic have three games in hand to try and close that gap, but Rangers look set to end the Hoops’ run of nine straight titles after claiming a 14th consecutive league win.

The game turned on a red card for Celtic defender Nir Bitton after he hauled down Alfredo Morelos just after the hour mark.

Neil Lennon’s men had dominated the first-half but could not find a way past Allan McGregor in the Rangers goal as he produced an outstanding save to turn Leigh Griffiths’s shot onto the post.

And at the other end, Celtic’s inability to defend set pieces which has cost them all season, was exposed when Joe Aribo flicked on a corner and the ball looped into the far corner off McGregor’s shoulder.

Rangers then held out for an 18th clean sheet in 22 league games this season to take a firm grip on the title race.

The blue side of Glasgow have not celebrated a major trophy since the club fell into liquidation in 2012 and tumbled down the leagues as a result.

Celtic have taken full advantage in that time, winning the last 12 domestic trophies on offer.

However, the tide has turned in Glasgow as former Liverpool captain Gerrard has slowly moulded Rangers into a force to contend with and now in his third season looks set to deliver silverware.
 
Mara ya mwisho kukutana na Liverpool Anfield hiyo ndo ilikuwa team yetu safari hii mjipange

United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire (c), Shaw, Williams; Matic, Fred, Andreas; James, Martial.

Subs: Romero, Bailly, Jones, Dalot, Mata, Lingard, Greenwood.

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Sawa kwa maana waliopo si tegemeo tena kutokana na majeruhi

Watatiwa sokoni msimu ujao kwa maana wakiwa fit kuwaweka benchi na wakaridhika nkazi
Hakika sio tegemeo wacheze gemu 10 non stop bila ishu...

Huyu dogo wa Lile anacheza pia LB hivyo ni hazina pale nyuma...

Endapo mpaka gemu ya Manchester United tutakua hatujamnunua huyu dogo ama beki mwingine na tukashinda hio gemu basi hili dirisha litapita kimya kimya....

Klopp ana imani sana na VVD to cheat time na awe uwanjani end of March..

YNWA
 
Yaani manure fans mmeanza Kupata presha mapema na game yetu pale Anfield kwa staili hiyo hamwezi pona pale sisi hiyo mechi wala hatuiwazii tunajuwa ushindi upo tu
Mara ya mwisho kukutana na Liverpool Anfield hiyo ndo ilikuwa team yetu safari hii mjipange

United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire (c), Shaw, Williams; Matic, Fred, Andreas; James, Martial.

Subs: Romero, Bailly, Jones, Dalot, Mata, Lingard, Greenwood.

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Mara ya mwisho kukutana na Liverpool Anfield hiyo ndo ilikuwa team yetu safari hii mjipange

United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire (c), Shaw, Williams; Matic, Fred, Andreas; James, Martial.

Subs: Romero, Bailly, Jones, Dalot, Mata, Lingard, Greenwood.

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Mkuu mpo vzuri 2020 EPL team with the best form mmeshinda pointi 65 in that calendar year huku sisi tukishinda pointi 63 in the same year hivyo we ain't that far if we can sort this useless draws we might as well do better than you have..

Mkuu natamani sana muongeze Ligi ili kwanza mpate presha from pundits kila kona...

Nasema hivyo sababu hayo yametukuta wakati tunaongoza EPL huku Manchester City akiwa bookies favourite basi all the pressure inakua directed kwetu ili mradi wapate news...

Kuongoza ligi kunakuja na pressure mno ukiwa underdogs maana msimu huu Manchester United ni underdogs nobody would have banked watakua walipo kimsimamo...

Mtakua scrutinised kila kona..

Are they gonna bottle it up..

Do they have th steam

.. Is this the year Ole turn around and make you champions

nk

In the meantime welcome to Anfield we are used to play under pressure having missed the 2 previous EPL trophies by a whisker 2018-2019 and 2014..

Pressure inakua kubwa mno na huu msimu ulivyo na matokeo ya ajabu lol EPL the best league...

Bring the Red Devils we are ready...

YNWA
 
Papu Gomez wa Atalanta amekua frozen and training alone...

Haha lol too bad he is 32 but this short guy has some perfect timed passes...

I wish to see him in EPL..

YNWA
 
Mkuu mpo vzuri 2020 EPL team with the best form mmeshinda pointi 65 in that calendar year huku sisi tukishinda pointi 63 in the same year hivyo we ain't that far if we can sort this useless draws we might as well do better than you have..

Mkuu natamani sana muongeze Ligi ili kwanza mpate presha from pundits kila kona...

Nasema hivyo sababu hayo yametukuta wakati tunaongoza EPL huku Manchester City akiwa bookies favourite basi all the pressure inakua directed kwetu ili mradi wapate news...

Kuongoza ligi kunakuja na pressure mno ukiwa underdogs maana msimu huu Manchester United ni underdogs nobody would have banked watakua walipo kimsimamo...

Mtakua scrutinised kila kona..

Are they gonna bottle it up..

Do they have th steam

.. Is this the year Ole turn around and make you champions

nk

In the meantime welcome to Anfield we are used to play under pressure having missed the 2 previous EPL trophies by a whisker 2018-2019 and 2014..

Pressure inakua kubwa mno na huu msimu ulivyo na matokeo ya ajabu lol EPL the best league...

Bring the Red Devils we are ready...

YNWA
You are a true football fan utmost royalty to your team and respecting your opponent ,Nadhani itakuwa game nzuri sana tukiwa tumelingana point

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
You are a true football fan utmost royalty to your team and respecting your opponent ,Nadhani itakuwa game nzuri sana tukiwa tumelingana point

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
You have to respect your formidable opponents and guys Ole is doing some magic.. Fans thought after RB eliminated you then Pochettino might be surely getting his dream job cz EPL downfall was next lakini wapi at last but phew off you started winning points and here you are level with us wow...

My only concern is you guys seem to click through Fernando dictating play and that over reliance on him might cost you though hizo ni may bes man...

In November mlikua nyuma yetu kwa pointi 9 na sasa tupo level...

We are kind of in dry spell how quick we find our firing legs will determine where we start the second half of the season..

Otherwise we accept the challenge you guys are bringing and what's a game on 17th January 2021 will be...

YNWA
 
Daah ila ndo vile tunaenjoy show yake kidogo tu..
Wasije watoto wadogo kama Manure waanze kututia presha wakati pumzi yao ndogo!
Dirisha liko wazi sasa tuombee mema zaidi.
Tupo sawa pointi ndugu hawa sio kuwadharau tena...

Ngoja tuone kama Edwards atafanya jambo dirisha hili...

YNWA
 
I don't see Fabinho moving back to Mid this season, whoever comes will partner with him at the back.

Let's hope Thiago stays fit for the rest of the season, he can do the work needed.
If that can not happen, his mf spot (I mean DM) should be replaced with Milner and Thiago i would love if they place him at non holding midfield

That at least I think
 
If that can not happen, his mf spot (I mean DM) should be replaced with Milner and Thiago i would love if they place him at non holding midfield

That at least I think

Milner is so far aged in my opinion, I don't think he is capable of playing 2 games in a row and that position needs one who can do it on a permanent basis.

Very unfortunately, our talented mids are injury prones. As I know FSG they are not in anyway going to make any addition in our Mid.

Let's just hope they will be sane enough to bring us a CB this window.
 
Kuna kila dalili ya kutokusajili mchezaji yoyote kwenye Dirisha la Januari that's why tunawaita kutoka kwenye Mkopo Wachezaji wasio na hata uwezo wa kucheza Championship.

Hutosikia Grujic akiitwa kwasababu kuna Watu pendwa pale wanatakiwa wacheze.

H

Ili la kutojituma kocha ndo anasababisha kesha kariir tim yake hataki iguswe wachezaji wana uhakika wa namba pesha ya kujituma inapungua.
Ujio wa Jota tumeona kocha alivo hangaika kumlinda Boby.
Front 3 yake isiguswe hata siku ikiwa mbaya kwa mchezaji anakomaa nae tu ndo tunapo kwamia hapo.
.Mwenyewe naamini Hivo Wachezaji wetu hawajitumi kabisa Laiti nafasi tuliyopo Sisi angekuwepo Man United Basi angejitahidi Sana wewe Anglia wapo nyuma yetu lakini wachezaji wake wanajitoa wanajituma Sisi hamna K2 nimekwazika vibaya Sana kwa hizi sare mbili mfululizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom