Yaani ndugu kumchomeka Hendo hapo wakati takwimu wala hazipo kivile ni kituko... Wenyewe utasikia kuhusu Hendo wakiongelea alivyo......
..he is such a leader bla bla..
the authority he commands bla bla..
he is such a respected figure in the dressing room bla bla..
He make the MF click bla bla...
Yaani husikii wakizungumzia Hendo na output zake kama
tackles won,
assist,
points won,
aerial blocks,
foul won,
intercepted passes..
Foul won..
Take ons
Pass completed
Shot on goal
Completed dribbles
Important goals... etc
Kumtetea huyu bwana inabidi kwa kweli uwe mbishi haswa wa statistics...
Huyu yupo kwenye hio Sky EPL team of the season ya hao ma pundits wawili sababu ya Uingereza wake...
YNWA