Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Misimu iliyopita ilikuwa Origi hata umuingize dakika 5 za mwisho Impact yake ilikuwa Mpinzani maji anaita mma.
Lakini sasahivi kufanya Sub ukamuingiza Origi Basi unatamani angetoka mtu na asiingie yeyote. Jamaa kachuja hafai hata kuugusa mpira basi anatimiza dakika 5 hajaugusa.
Bobby ana misumari ya kiafrika Yani.

Alikuwa anakazana ili aongezewe mkataba sasa ameshapewa mkataba mpya haoni haja ya kujituma tena kama asipochezA na mshahara anapata haoni Tatizo kwake,
 
Sidhani kama mimi nimetofautiana mtazamo wa kpira na wewe ila nahisi tumetofautiana uwasilishaji wa maoni.

Sitaki niwatupie lawama hao as a scapegoats tu na sio kwamba hawakufanya makosa in general.

Jana makosa yalikuwa kwa Front 3 yote kwani haijafanya serious attack yoyote coz hata lile goli la MANE walikuwa wanazurura tu mpaka uliona kuwa ni mpira mrefu uliopigwa kwa ufundi mkubwa na Mchezaji ninayemkubali kupita maelezo Jo Matip, sio Fair kumtupia Zigo Salah as Salah kama wengine walivyo mpoint.

Ukiangalia kwenye Mido Hendo na Gini ndani ya Dakika 90 basi sijaona cha mana walichokifanya zaidi ya kurandaranda tu, so, kumpoint Jones peke yake kwasababu tu kosa lake la kimpira lilizaa goli hapo Dogo tunamuonea.

Hivyo ni Timu nzima ukitoa Mabeki wote 4 na kipa basi imecheza Vibaya na ndiyomana lawama zinabidi ziende kwa wote na si kwa Jones, Salah na Gini.
Kama vile shot on target zilikua mbili tu jana...

Mane moja ikazaa goli.. Firmino moja kipa akapangua...

Ki ukweli WBA deserved kushinda ile mechi...

We were poor 1st half 80+% ball possession aafu kagoli kamoko seriously.....

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Liverpool FC on Twitter:
#LFC has appointed Dr Andreas Schlumberger as head of recovery and performance. This newly-created specialist role will support and work in close collaboration with the current performance, medical and rehabilitation leadership.

Nakumbuka tulicreate ajira ya kumuajiri Setpiece Specialist lakini toka tuajiri mpaka kufikia leo sikumbuki mara ya mwisho tulifunga lini kwa Freekick.
 
Tatizo lako unadhani huwa hujawahi kukosea na hutakiwi kukosolewa.

Sasa kama tusome halafu tusijibu umemuandikia nani?
Umetaja wengi wakosoaji ila umejisahau wewe pia nasi tunakukumbusha.

Unajikutaga kama vile huu Uzi ni wako
Takataka
Nahisi utakuwa una mchukia tuu kwa michango yake .....ukisoma bila mihemuko ni wazi utaona nae amejikosoa kwa kumkosoa Hendo
 
Thamani ya:-
Kepa
Harvertz
Joginho
Werner

Bei ya hawa Flops unaweza kununua Timu kabisa na ukacompete Top 4.

Siamini kuwa hawa Wachezaji hawakuwa na uwezo/vipaji ila management ya Lampard ni destroyer rather than kuboresha.

Soon Chillwel na Mendy atafall In the same category ya hawa wajamaa.
 
Nahisi utakuwa una mchukia tuu kwa michango yake .....ukisoma bila mihemuko ni wazi utaona nae amejikosoa kwa kumkosoa Hendo

Ngwaba hajajikosoa, kaweka ushauri kwamba tusiweke chuki binafsi kwa wachezaji wetu.

Kukosoa bila vigezo, unakuta mtu anamchukia mchezaji ambaye anatimiza majukumu yake vilivyo.

Hendo was a trash by then, ila sasa hivi anajitahidi (kakiwango kamepanda), lakini pia ukilinganisha na viungo tulionao, yeye ni angalau hasa in terms ya kutokuwa na injuries.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom