choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,087
tunaendeleza rekodi za kijinga kuwa hatushindi OT hata nyumbu wakiwa wabovu, hatuwafungi westbrom , hatupati point 3 goodison
The biggest threat kwa LFC kwa sasa siyo top 6 tena. The biggest threat ni bottom 6. Which to me is a much a bigger problem if left unchecked.Liverpool tuna shida kubwa sana.
Hapana tuendelee tu! Hata wenzetu wanachechemea tu! Mpaka mpira unaisha Man U on target ni 3 tu na yeye! Kesho lazima Newcastle afe ije mvua lije jua!Afadhali ligi isimame kwanza hata kwa Week 3 hivi,Tukajipange upya kwanza la sivyo.
Relax Mkuu...Afadhali ligi isimame kwanza hata kwa Week 3 hivi,Tukajipange upya kwanza la sivyo.
Mkuu acha League isimame kwanza ,Tukajipange upya turudi kitofauti Jota ,Thiago watakuwa na Fitness tayari ,Tutakuwa na CB mpya Yaani ikisimama hii ni faida kubwa kwetu.Hapana tuendelee tu! Hata wenzetu wanachechemea tu! Mpaka mpira unaisha Man U on target ni 3 tu na yeye! Kesho lazima Newcastle afe ije mvua lije jua!
Unafikri mkuu ikisimama ni wewe peke yako utaenda kujipanga? Na wenzio wanaenda kujipanga, wacha tuende hivyo hivyo maana wote tumechoka!Mkuu acha League isimame kwanza ,Tukajipange upya turudi kitofauti Jota ,Thiago watakuwa na Fitness tayari ,Tutakuwa na CB mpya Yaani ikisimama hii ni faida kubwa kwetu.
West Bromwich amekula 5 kwa Leeds Sisi tumemshindwa tena Anfield Bado tu unahamu ya hii ligi iendelee tu.
Mpira hauendi ivo braza kushindwa kumfunga west brom Anfield halafu hapo hapo akapigwa na leeds 5 isikufanye uone timu yetu mbovu. West brom kapigwa 5 kwasababu game plan yake haikuwa kupaki basi kama alivyofanya Anfield Jana walifunguka ndo maana mafuriko yakawakutaMkuu acha League isimame kwanza ,Tukajipange upya turudi kitofauti Jota ,Thiago watakuwa na Fitness tayari ,Tutakuwa na CB mpya Yaani ikisimama hii ni faida kubwa kwetu.
West Bromwich amekula 5 kwa Leeds Sisi tumemshindwa tena Anfield Bado tu unahamu ya hii ligi iendelee tu.
Mkuu acha League isimame kwanza ,Tukajipange upya turudi kitofauti Jota ,Thiago watakuwa na Fitness tayari ,Tutakuwa na CB mpya Yaani ikisimama hii ni faida kubwa kwetu.
West Bromwich amekula 5 kwa Leeds Sisi tumemshindwa tena Anfield Bado tu unahamu ya hii ligi iendelee tu.
Mashetani wanakuja kwa kasi ya kimbuga
Leo newcastal akiwashika
Mtabaki mnalia nyie na klop na Mungu wanu
Tukicheza game moja tu, tunaingia top fourWewe naona msimu huu unagombania top four
Klopp’s comments mean Thiago is unlikely to feature in Wednesday’s Premier League trip to Newcastle, but could return for the game at Southampton on Monday or the FA Cup tie with Aston Villa on January 8.Klopp akiongea na wanahabari juzi baada ya game ya Westbrom alisema Thiago ana nafasi kubwa ya kutokuwepo kwenye kikosi.
Vipi kuna mpya zozote?