Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bro ni mapema sana kujiona unapojiona. Arsenal ina project yake ambayo haimruhusu kuota ucl
Sahihi kabisa. Simaanishi kuwa Spurs itatwaa ucl na epl na kila kombe lingine ndani ya msimu mmoja au miwili. Ninachomaanisha ni kwamba jamaa wako kwenye project ambayo itawafikisha mbali sana tofauti na watu wanavyodhani.

Kuhusu Arsenal najua mko kwenye project mpya pia ila sina imani na wamiliki wenu. Namna wanavyofanya signing hakuna tofauti na wamiliki wa Manjesta United. Tunakununulia wachezaji wawili watatu wa bei mbaya kisha tunakwambia "ushindwe wewe".

Hizi projects zinahitaji muda kuonesha impact. Pia kikosi yafaa kisukwe hatua kwa hatua ili kuepuka panic buys kama ile ya Alex Sanchez na piano yake.

Mimi nina imani na Arteta endapo atapewa muda na kikosi atakacho.
 
Kitu kizuri kuhusu mechi ya Jana ni kuwa
Sam Alradice ameongeza timu ambazo ni spoilers..

Sasa hata Chelsea na Tottenham wakienda kukutana na Big sam kazi wanayo
Kweli mkuu. Nakumbuka kabla ya game ya jana kuna jamaa yangu nilimwambia kuwa ujio wa huyu mzee na big jiii zake unakuja kutibua maji hakunielewa. Ila sasa hivi tunaongea lugha moja.
 
Naona mambo yetu sio mabaya sana
Ila nawahofia man u naona yameanza kuja kuja
Epl msimu huu ina matokeo ya kushangaza sana ndugu...

Nani alitegemea tungepigwa 7 na mshuka daraja alieponea chupuchupu A Villa...

Nani alitegemea Crystal Palace kwake tungempiga 7 bila...

Ki ukweli upo uwezekano hii hali ya matokeo tukasonga nayo mpaka Aprili huku nafasi ya 5 mpaka ya kwanza utofauti wa pointi ukiwa ni pointi 6 ama chini ya hapo...

Dirisha hili hapa linafunguliwa tarehe 2 Januari mpaka Februari 2 atakaeweza kuingia sokoni na kunasa mchezaji wa kuja kuimarisha kikosi basi upo uwezekano ndio bingwa huyo...

Kwetu kupata CB mmoja hatukwepi maana mpaka hapa tulipo ni BIG UP sana kwa vijana...

Kupona kwa Thiago na Jota itakua kama usajili upya kwetu...

Bado ligi hii ipo mikononi mwetu sana tu lakini tupunguze hizi sare...

YNWA
 
Kwa kweli mkuu
Ila naona vvd itafikia time atachoka sasa
Tutafute CB wawili wa nguvu na striker mmoja wa nguvu kabisa

Kina mane nahisi wameridhika
 
Sema mou ni vile tu Ku stick aina ya soka lake analolipenda ,akisema a switch mbona watu watakoma ..
Kwa kikosi hiki atafunga magoli mengi ila yeye pia atafungwa mengi zaidi. Kwa mfano jana angecheza vile alivyocheza baada ya kufungwa goli tangu dk ya 1 mpaka 90 ingekuwa noma. Ili akushambulie vizuri muda wote anahitaji balanced squad. Siyo hapa Kane pale Sissoko. Hapa Toby pale Dier.
 
Mkuu tazama mechi kumi zajazo EPL..

Tunao wafuatao kumaliza mzunguko wq kwanza.....

Liverpool vs Newcastle 30/12/20 away

Liverpool Southampton 04/1/21 away

Liverpool vs Manchester United 17/1/21 home

Liverpool vs Burnley 21/1/21 home

Mzunguko wa pili tunaanza hivi...

Liverpool vs Tottenham 28/1 /21 away

Liverpool vs Westham 31/1/21away

Liverpool vs Brighton, 3/2/21home

Liverpool vs Manchester City 6/2/21 home

Liverpool vs Leicester 13/2/21 away

Liverpool vs Everton 20/2/21 home..

Na kuna gemu ya UCL vs RB hapo February...

Kwa ratiba hio hatuna muda wa sare hizi kwani ni gemu ngumu sana zinakuja kwetu...

YNWA
tukimaliza hizo game still tupo top au 3 points kutoka top aisee nitakua na matumaini ya kumaliza ligi vizuri......

Jota nadhan atakua karudi, hopefully tutakua tumesajili CB mmoja, then naona ox, shaq , milner wamepona!
 
Nimehisi naweza kushare hii kitu.

Wakati tulipokuwa na Coutinho/Milner/Gini/Hendo nilikuwa mkosoaji Mkubwa wa Hendo kutokana na uchezaji wake mbovu wa wakati huo! Lakini from the last season mpaka sasahivi simkosoi tena Hendo na nimeridhika aanze kila Game, unadhani namkubali ni bonge la mchezaji? Hapana! Bali ni kuwa yupo Fiti wengine ni Wagonjwa wazoefu.

Lakini ukiangalia huu Uzi (Hasa baada ya Matokeo ya jana) utagundua haya.

  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Gini tu haku akisia wengine.
  • Kuna Washabikia kazi yao kumponda Firmino tu haku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Salah tu huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Jones tu huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Hendo tu huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Keita (Hakucheza) huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda OX tu akisifia wengine.

Sasa hapo angalia hizo tabia za Mashabiki wetu wa Liverpool utagundua Wachezaji wote wanapondwa ambapo kila Mtu anamponda mmoja au wawili kati ya hao.

Na vilevile wote hao Kila mmoja hapo utakuta kuna Mtu humu anamsifia mchezaji husika hivyo wote hao pia wanasifiwa.

Ukija kwa wapondaji hapo siku zote hawamlaumu mchezaji kulingana na takwimu kwani hawaamini katika takwimu kitu ambacho huwezi kuwa mchambuzi au muelewa wa mpira bila ya kuwajadili kulingana na Takwimu.

Unapokuwa Beki basi msingi wa kupimwa kwako ni takwimu za duels won, tackle won and intercept.
Unapokuwa Mshambuliaji basi msingi wako mkubwa wa Takwimu utapimwa kwa Goal score + Assist. Mshambuliaji hawezi kupimwa kwa kupiga chenga na kukimbiza mipira, kama ni hivyo tungelimnunua Adama Traore badala ya Diogo Jota.

Hivyo huwezi kusema mchezaji fulani hata asipofunga anahangaika uwanjani!!! Yeye ni mshambuliaji hii kuhangaika tunaipimaje? Ni Stats? Ni lazima afunge wakati yeye ni Mshambuliaji.

Na hii ndiyo inayomfanya Salah ataendelea kupata namba game after game labda awe majeruhi. Hii ni kwasababu Takwimu zake za Ufungaji na Assist zinajieleza. Kamwe Klopp hawezi kumuweka Benchi Salah kutokana na anachokifanya kwani points hazipatikani kwasababu fulani kahangaika bali zinapatikana kwasababu Fulani kafunga.

SULUHISHO:
Wanaowashambulia wachezaji wanashindwa kuleta Facts (Takwimu) za weakness zao bali wanaishia kulalamika tu hii inaonesha wazi kuwa hawajui wanalalamikia kitu gani bali ni Haters tu kwa baadhi ya Wachezaji zilizotokana na Makala za Mitandao wanayotembelea.

Jones, Salah na Gini hawastahili lawama wanazopewa kwa Matokeo ya Jana.
 
tukimaliza hizo game still tupo top au 3 points kutoka top aisee nitakua na matumaini ya kumaliza ligi vizuri......

Jota nadhan atakua karudi, hopefully tutakua tumesajili CB mmoja, then naona ox, shaq , milner wamepona!
Hakika binafsi naona hivyo hivyo ndugu...

Uzuri kama unavyoona hakuna timu yenye uhakika wa kushinda mechi 5 mfululizo mpaka sasa...

YNWA
 
Nimehisi naweza kushare hii kitu.

Wakati tulipokuwa na Coutinho/Milner/Gini/Hendo nilikuwa mkosoaji Mkubwa wa Hendo kutokana na uchezaji wake mbovu wa wakati huo! Lakini from the last season mpaka sasahivi simkosoi tena Hendo na nimeridhika aanze kila Game, unadhani namkubali ni bonge la mchezaji? Hapana! Bali ni kuwa yupo Fiti wengine ni Wagonjwa wazoefu.

Lakini ukiangalia huu Uzi (Hasa baada ya Matokeo haya) utagundua haya.

  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Gini tu haku akisia wengine.
  • Kuna Washabikia kazi yao kumponda Firmino tu haku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Salah tu huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Jones tu huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Hendo tu huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Keita (Hakucheza) huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda OX tu akisifia wengine.

Sasa hapo angalia hizo tabia za Mashabiki wetu wa Liverpool utagundua Wachezaji wote wanapondwa ambapo kila Mtu anamponda mmoja au wawili kati ya hao.

Na vilevile wote hao Kila mmoja hapo utakuta kuna Mtu humu anamsifia mchezaji husika hivyo wote hao pia wanasifiwa.

Ukija kwa wapondaji hapo siku zote hawamlaumu mchezaji kulingana na takwimu kwani hawaamini katika takwimu kitu ambacho huwezi kuwa mchambuzi au muelewa wa mpira bila ya kuwajadili kulingana na Takwimu.

Unapokuwa Beki basi msingi wa kupimwa kwako ni takwimu za duels won, tackle won and intercept.
Unapokuwa Mshambuliaji basi msingi wako mkubwa wa Takwimu utapimwa kwa Goal score + Assist. Mshambuliaji hawezi kupimwa kwa kupiga chenga na kukimbiza mipira, kama ni hivyo tungelimnunua Adama Traore badala ya Diogo Jota.

Hivyo huwezi kusema mchezaji fulani hata asipofunga anahangaika uwanjani!!! Yeye ni mshambuliaji hii kuhangaika tunaipimaje? Ni Stats? Ni lazima afunge wakati yeye ni Mshambuliaji.

Na hii ndiyo inayomfanya Salah ataendelea kupata namba game after game labda awe majeruhi. Hii ni kwasababu Takwimu zake za Ufungaji na Assist zinajieleza. Kamwe Klopp hawezi kumuweka Benchi Salah kutokana na anachokifanya kwani points hazipatikani kwasababu fulani kahangaika bali zinapatikana kwasababu Fulani kafunga.

SULUHISHO:
Wanaowashambulia wachezaji wanashindwa kuleta Facts (Takwimu) za weakness zao bali wanaishia kulalamika tu hii inaonesha wazi kuwa hawajui wanalalamikia kitu gani bali ni Haters tu kwa baadhi ya Wachezaji zilizotokana na Makala za Mitandao wanayotembelea.

Jones, Salah na Gini hawastahili lawama wanazopewa kwa Matokeo ya Jana.
Hapo kwa wanaomshambulia hendo wa kwanza ni wewe tunakumbuka vizuri

Hata kama team ilikuwa ikishinda bado unalaumu.
Japokuwa alikuwa anazidi kujitahidi siku baada ya siku
 
Kwa kweli mkuu
Ila naona vvd itafikia time atachoka sasa
Tutafute CB wawili wa nguvu na striker mmoja wa nguvu kabisa

Kina mane nahisi wameridhika
Strika hapana kama unavyoona Klopp mpaka sasa anakomaa na false 9 hivyo Strika sio hitaji kwa sasa na ndio maana Origi yupo mbioni kusaka ugali kwingine...

CB mmoja mwenyewe umri wa chini around 20 mpaka 25 hivi ili kwenda sawa na rebuilding plan za Klopp...

YNWA
 
Nimehisi naweza kushare hii kitu.

Wakati tulipokuwa na Coutinho/Milner/Gini/Hendo nilikuwa mkosoaji Mkubwa wa Hendo kutokana na uchezaji wake mbovu wa wakati huo! Lakini from the last season mpaka sasahivi simkosoi tena Hendo na nimeridhika aanze kila Game, unadhani namkubali ni bonge la mchezaji? Hapana! Bali ni kuwa yupo Fiti wengine ni Wagonjwa wazoefu.

Lakini ukiangalia huu Uzi (Hasa baada ya Matokeo haya) utagundua haya.

  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Gini tu haku akisia wengine.
  • Kuna Washabikia kazi yao kumponda Firmino tu haku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Salah tu huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Jones tu huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Hendo tu huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda Keita (Hakucheza) huku akisifia wengine.
  • Kuna Washabiki kazi yao kumponda OX tu akisifia wengine.

Sasa hapo angalia hizo tabia za Mashabiki wetu wa Liverpool utagundua Wachezaji wote wanapondwa ambapo kila Mtu anamponda mmoja au wawili kati ya hao.

Na vilevile wote hao Kila mmoja hapo utakuta kuna Mtu humu anamsifia mchezaji husika hivyo wote hao pia wanasifiwa.

Ukija kwa wapondaji hapo siku zote hawamlaumu mchezaji kulingana na takwimu kwani hawaamini katika takwimu kitu ambacho huwezi kuwa mchambuzi au muelewa wa mpira bila ya kuwajadili kulingana na Takwimu.

Unapokuwa Beki basi msingi wa kupimwa kwako ni takwimu za duels won, tackle won and intercept.
Unapokuwa Mshambuliaji basi msingi wako mkubwa wa Takwimu utapimwa kwa Goal score + Assist. Mshambuliaji hawezi kupimwa kwa kupiga chenga na kukimbiza mipira, kama ni hivyo tungelimnunua Adama Traore badala ya Diogo Jota.

Hivyo huwezi kusema mchezaji fulani hata asipofunga anahangaika uwanjani!!! Yeye ni mshambuliaji hii kuhangaika tunaipimaje? Ni Stats? Ni lazima afunge wakati yeye ni Mshambuliaji.

Na hii ndiyo inayomfanya Salah ataendelea kupata namba game after game labda awe majeruhi. Hii ni kwasababu Takwimu zake za Ufungaji na Assist zinajieleza. Kamwe Klopp hawezi kumuweka Benchi Salah kutokana na anachokifanya kwani points hazipatikani kwasababu fulani kahangaika bali zinapatikana kwasababu Fulani kafunga.

SULUHISHO:
Wanaowashambulia wachezaji wanashindwa kuleta Facts (Takwimu) za weakness zao bali wanaishia kulalamika tu hii inaonesha wazi kuwa hawajui wanalalamikia kitu gani bali ni Haters tu kwa baadhi ya Wachezaji zilizotokana na Makala za Mitandao wanayotembelea.

Jones, Salah na Gini hawastahili lawama wanazopewa kwa Matokeo ya Jana.
King Ngwaba aka Ibn Shaame ninaemjua mimi haha kitwakimu zaidi....

YNWA
 
Hapo kwa wanaomshambulia hendo wa kwanza ni wewe tunakumbuka vizuri

Hata kama team ilikuwa ikishinda bado unalaumu.
Japokuwa alikuwa anazidi kujitahidi siku baada ya siku

Soma tena nilichokiandika kwani ulipaswa kusoma ili ufahamu na si kusoma ili ujibu.
 
Msimu huu sijajua ni nani atakuwa Bingwa kwani Liverpool, Spurs, Man City, Man United na Chelsea wote hawa wana nafasi 50/50 ya kuwa Mabingwa! Ila ukweli ni kwamba yeyote kati ya hawa atakayechukua Ubingwa hatachukua kwasababu ana timu bora, bali atachukuwa kwasababu Wenzake dhaifu.

Msimu huu naufananisha na Ule wa Leicester City aliobeba Ubingwa.
 
Soma tena nilichokiandika kwani ulipaswa kusoma ili ufahamu na si kusoma ili ujibu.
Tatizo lako unadhani huwa hujawahi kukosea na hutakiwi kukosolewa.

Sasa kama tusome halafu tusijibu umemuandikia nani?
Umetaja wengi wakosoaji ila umejisahau wewe pia nasi tunakukumbusha.

Unajikutaga kama vile huu Uzi ni wako
Takataka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom