Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Historically Deseba hua mwezi bora kwetu EPL na January na February hua miezi mimbaya sana kwetu hivyo hii sare ya leo sio ya kuichukulia powa kabisa ukitazama tunakutana na washindani wetu wa hili taji ndani ya mechi kumi zijazo...

Upo uwezekano bingwa wa msimu huu akalichukua kombe EPL akiwa na pointi 75 mpaka 85 aisee maana kila kukicha matokeo yanazidi kushangaza wengi...

YNWA
Na wasiwasi Mkubwa ni kwamba bado mzunguko hujakamilika na majeruhi wetu wa mara kwa mara tunakuwa pangua pangua ..
Ngoja Man city atusogelee pale juu tutiane presha vizuri maana ndo tunapoelekea huko .
 
City sio wa kumwombea akae pale juu ndugu...

Pep ana hasira sana na sisi hawezi kuwekeza pesa zote zile aafu aishie kusidikiza yaaani....

Bila kununua CB January usitegemee kombe lolote msimu huu..

YNWA
 
My fellow the captain Jordan Henderson made damn good crosses today , and also I see no circumstances for our Zimbabwe descent boy Trent to get the blame anyhow,,,I will continue to assert that who had the way to us having this horrible result is Jurgen Klopp with his joke of a lineup

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mkuu hii line up ya jana kwa mazingira yetu ya sasa ni BORA kabisa...

Je wewe ulipenda nani aanze..

YNWA
 
So far hatuna beki stable mpaka VVD atakaporudi.Hata tukifanya usajili wa beki January bado nae atakuwa anahitaji muda kwenda na intensity ya epl.Hata beki mwenye profile kama Silva alistrugle kwanza mwanzoni.Hakuna mtu reliable wa kupartner na fabinho.Huyo Williams ambae ni Klopp favourite hawezi kudefend,bado anahitaji muda na gem zake zilitakiwa kuwa FA na carabao huko ajenge kwanza uzoefu.Ilikuwa tupigwe goli la pili jana bila Becker kufika na kumsaidia dogo Williams,alishapoteana.Simrate huyu dogo kifupi.

At least huwa namwelewa Nat Phil lakini bahati mbaya Klopp kamweka nyuma ya Williams!!Kwahiyo kwa msimu huu wote tutastruggle Sana na hii backline.Ni Kwasababu hiyo siiweki Liverpool kwenye ubingwa msimu huu.Ushakuwa ngumu aisee.Tutafute mtu established wa kuja kupartner na VVD msimu ujao.Hata huyo Gomes nae kabla ya kuumia alikuwa uchochoro tu.Ni aina ya beki ambae muda wowote anakucost.

Bado kule mbele kuna tatizo ambalo linakua siku hadi siku.Ukiondoa Firmino,waliobaki wanagombania kufunga.Hawachezi kwa ushirikiano,Kila mmoja anataka kufunga yeye.Kuna muda dakika za mwisho jana Salah anaopt kudribble akiingia kwenye box bila kujali mbele yake kuna mabeki na wakaichukua kirahisi tu,nafasi ikawa wasted kirahisi pia.Alikuwa anaweza kufanya kitu kingine kujenga shambulio la uhakika zaidi.

Midfield na mabeki wetu wa pembeni(chance creators) ambacho walikuwa wanakifanya mostly ni kupiga tu mikrosi ya curving ambayo kwa asilimia kubwa huwa ni mipira ya kipa.Wakaendelea hivyohivyo hata baada ya kugundua hazina mafanikio.Watu wakishaweka msitu na wewe ukaendekea kutuma curves huwezi kufunga ukizingatia wachezaji wazuri kwenye vichwa(VVD,matip) hawapo uwanjani!Bado kufanya mashambulizi kupitia katikati pale pembeni kunapokuwa kugumu ni changamoto nzito.Wachezaji wazuri kwenye role hiyo ni marafiki wakubwa wa injuries!
 
Mkuu hii line up ya jana kwa mazingira yetu ya sasa ni BORA kabisa...

Je wewe ulipenda nani aanze..

YNWA
Lineup hii hapa though with Bobby in inplace of Takumi no problem

LINEUP111609131809524.jpg

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Tumepoteza point kipumbavu Sana

Game ilibidi liishe first half

Salah akaanza fiesta zake

Watu hawamuongelei haka kajamaa kamepoteza mipira Jana kulko Mchezaji yeyote uwanjani umepata mpira piga pass we sio Messi

Hafu kuna haka la Curtis yaani tuna wachezaji wazuri Sana Ila utoto Sasa kichwani upo ndiiiiiiii

Kocha anafanya sub dakika ya themanini hvi ox angeingia toka dakika ya 70 huko a push Mambo ... Kama vile mwishoni

Mimi naendelea kusema tunabeba hili kombe Kama klopp na genge lake pale anfield wataacha small team mentality ya kupiga vigogo tunaacha vtoto imagine tungekua tunachakaza hzi mborombo

YNWA
 
Sio ugumu wa EPL the issue is useless and out of ego lineups

Mimi leo hii kwa Klopp aavyomtumia Gini kwa kweli Henderson na viungo wengi tu ni bora kuliko Gini

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Nilitazama Real Madrid mechi zao msimu uliopita na moja ya nguzo kuu ya Zidane ilikua ni kubadili mfumo wakati mambo yakiwa yanasimama kimatokeo...

Sina uhakika kwa nini Klopp hua sio mwepesi wa kua na mifumo hata 3 au 4 ndani ya gemu moja... Naona ni 4 3 3 karibu mechi zote.. Aidha hana wachezaji sahihi wa kuifanya hio kazi ama kwa vile hii 4 3 3 imempa mafanikio makubwa Liverpool basi anakomaa nayo...

Ili uone ubora wa Gini sio kwa hii 4 3 3 ya Klopp ndugu....

Timu pinzani wanapata easy route ya maandalizi dhidi yetu kwa kufanya training zao kutubana na 4 3 3 na especially hizi timu zinakua kule chini kabisa ambao wao every point count..

YNWA
 
So far hatuna beki stable mpaka VVD atakaporudi.Hata tukifanya usajili wa beki January bado nae atakuwa anahitaji muda kwenda na intensity ya epl.Hata beki mwenye profile kama Silva alistrugle kwanza mwanzoni.Hakuna mtu reliable wa kupartner na fabinho.Huyo Williams ambae ni Klopp favourite hawezi kudefend,bado anahitaji muda na gem zake zilitakiwa kuwa FA na carabao huko ajenge kwanza uzoefu.Ilikuwa tupigwe goli la pili jana bila Becker kufika na kumsaidia dogo Williams,alishapoteana.Simrate huyu dogo kifupi.

At least huwa namwelewa Nat Phil lakini bahati mbaya Klopp kamweka nyuma ya Williams!!Kwahiyo kwa msimu huu wote tutastruggle Sana na hii backline.Ni Kwasababu hiyo siiweki Liverpool kwenye ubingwa msimu huu.Ushakuwa ngumu aisee.Tutafute mtu established wa kuja kupartner na VVD msimu ujao.Hata huyo Gomes nae kabla ya kuumia alikuwa uchochoro tu.Ni aina ya beki ambae muda wote anakucost.

Bado kule mbele kuna tatizo ambalo linakua siku hadi siku.Ukiondoa Firmino,waliobaki wanagombania kufunga.Hawachezi kwa ushirikiano,Kila mmoja anataka kufunga yeye.Kuna muda dakika za mwisho jana Salah anaopt kudribble akiingia kwenye box bila kujali mbele yake kuna mabeki na wakaichukua kirahisi tu,nafasi ikawa wasted kirahisi pia.Alikuwa anaweza kufanya kitu kingine kujenga shambulio la uhakika zaidi.

Midfield na mabeki wetu wa pembeni(chance creators) ambacho walikuwa wanakifanya mostly ni kupiga tu mikrosi ya curving ambayo kwa asilimia kubwa huwa ni mipira ya kipa.Wakaendelea hivyohivyo hata baada ya kugundua hazina mafanikio.Watu wakishaweka msitu na wewe ukaendekea kutuma curves huwezi kufunga ukizingatia wachezaji wazuri kwenye vichwa(VVD,matip) hawapo uwanjani!Bado kufanya mashambulizi kupitia katikati pale pembeni kunapokuwa kugumu ni changamoto nzito.Wachezaji wazuri kwenye role hiyo ni marafiki wakubwa wa injuries!
Salah anawaza kufunga tu

It is good Ila awe anaangalia na maeneo

Kuna muda kinakua kijinga Sana aisee
 
Ox ubora wake ni kushambulia...

Dogo ni all round MF...

He is still a kid he will make mistakes here and there that acceptable....

YNWA
Chamberlain successfully tackles much and much more than Gini , I think considering our injuries and players out there was no way possibly he couldn't be a starter in the lineup yesterday, but our clueless Gaffer always and as always with his ego aaaaah that is what he reaped yesterday

Our scouse teenage lad Curtis Jones is a midfielder with good output at pressing more than Gini , creative movements at the midfield and ability to score as well , I assert there is no way Gini would be in preference over this teenager and of course this is according to how our Gaffer always use him(Gini)

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
You nailed it

Hili kombe sio letu kama naona vile, inakuwa kama kwa hao i.e Man Utd and the rest

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kwa haya matokeo yanayopatikana EPL kweli msimu huu haina mwenyewe...

Hawa hawa WBA walitoa sare na Chelsea, Manchester City...

Usalama wetu ni kuingia sokoni CB aje na awe settled kwa kweli...

Pale nyuma yaani tukishambuliwa panatia hofu sana kama vile muda wote tutafungwo....

Klopp hana namna sasa... Bila Matip wala tusitegmee hawa vijana wa academy wanaweza kutuvusha salama mpaka Mei..

YNWA
 
Nilipojulishwa kwamba Jota ameumia na atakaa nje muda mrefu kiasi, niliiona hii hatari.

Strikers wetu hawana changamoto, wameshashinda makombe makubwa, inatosha kwao.
Mkuu hapo Mane mtoe kabisa

Mane anajituma bwana maana hata asipofunga kazi yake siku zote huwa inaonekana hata iweje

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hapo Mane mtoe kabisa

Mane anajituma bwana maana hata asipofunga kazi yake siku zote huwa inaonekana hata iweje

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app

Output ya Mane imepungua sana ukilinganisha na Mane wa misimu miwili iliyopita, ile njaa aliyokuwa nayo hata yeye si kama ya sasa hivi.
 
Output ya Mane imepungua sana ukilinganisha na Mane wa misimu miwili iliyopita, ile njaa aliyokuwa nayo hata yeye si kama ya sasa hivi.
Mane kwa kweli hata asipofunga kazi yake huwa lazima inaonekana , labda bahati useme

Salah yuko soft mno na kiwango chake kimeshuka with him giving away too many balls to opponents na huyu Salah nae sasa hastahili kupewa dakika zote 90 ,,,,kuhusu Firmino ni kwamba Firmino hastahili kuanza kwa kweli

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Na wasiwasi Mkubwa ni kwamba bado mzunguko hujakamilika na majeruhi wetu wa mara kwa mara tunakuwa pangua pangua ..
Ngoja Man city atusogelee pale juu tutiane presha vizuri maana ndo tunapoelekea huko .
Man City atusogelee mara ngapi ??!! Yupo nae tumemzidi pointi tatu tu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom