Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani wewe inabidi tukukamate kwenye nyuzi za watu kama hivi.

Kuna siku nilikwambia hili vumbi likitulia kila mtu atakaa anapokaa siku zote. Kufungwa na Antwerp na draw na Ludogorates ilitakiwa kukuthibitishie.
Baada ya usajili January, kuelekea duru ya pili kila mtu atakuwa kwenye nafasi yake. Mimi mshindani wangu msimu huu ni huyu Looserpool. Wewe ukimaliza top six fanya sherehe kabisa.
 
Arsenal ikisajili itaweza fight zaidi ya challenge uliyoweka.

Chelsea ina mmiliki mmwaga hela same kwa Madrid yet waliona Mourinho siyo option nzuri kwa mpira wanaoutaka.
Tottenham ina ambitions ndogo so probably he is a right choice.
 
Hii mechi ushindi wenu ni droo hamtoboi kwa babu Anceloti
Kama spurs draw

Liverpool draw

Leo unasema City ita draw

Braza mpira haupo hivo

Sisi everton tunamkalisha, hana jipya kwetu, anakula gori za kutosha leo

Muda utafika
 
Arsenal ikisajili itaweza fight zaidi ya challenge uliyoweka.

Chelsea ina mmiliki mmwaga hela same kwa Madrid yet waliona Mourinho siyo option nzuri kwa mpira wanaoutaka.
Tottenham ina ambitions ndogo so probably he is a right choice.
Nasema hapa kila mara. Hii project ya Spurs iko underrated na mwishoni mwa msimu watu watabaki midomo wazi. Levy ni football genius. Anaitransform timu bila Arab/Asian money. Hakuna timu epl imeweza hilo kwenye zama hizi. Ni ngumu kuzungumzia epl ila Spurs itachukua vikombe.

Chelsea wanaweza kuwa na ambitions ila sidhani kama wanaye kocha wa kuwafikisha waendako kwa kuzingatia kiwango cha ushindani uliopo.

Nyinyi msimu huu mtamaliza top six endapo mtaendelea kumpa imani huyu kocha wenu.
 
Bro ni mapema sana kujiona unapojiona. Arsenal ina project yake ambayo haimruhusu kuota ucl
 
Hii mechi ushindi wenu ni droo hamtoboi kwa babu Anceloti
Game tano za mwisho na everton hajawahi kumfunga City hata moja

Everton kila msimu tunampiga nje ndani

Leo point 3 mbele yetu, tunamsubili Chelsea na yeye tumkule, Hakuna namna
 
Kitu kizuri kuhusu mechi ya Jana ni kuwa
Sam Alradice ameongeza timu ambazo ni spoilers..

Sasa hata Chelsea na Tottenham wakienda kukutana na Big sam kazi wanayo
Sure thing broda! It aint a game easy na kwao pia
 
Mourinho kwa kujisifiaga makombe aliyobeba hajambo
Jose Mourinho : " I think if Tottenham wins the premier league the pain to all TV Pundit will be greater than the pandemic. They always criticize my style of play. But I have more than 25 Trophies in my life and they have only TV cameras "

Jose for you.
 
Jose ni nyoko sana huyu mzee nahisi aliwahi kuishi kwa wazaramo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom