mmangO
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,025
- 1,623
Aisee magoli tumekosa mengi sio kawaida ..hii game tumegawa point ya bure kwa Big samTumefanya uzembe mwingi tokea mwanzo wa mchezo
Aisee magoli tumekosa mengi sio kawaida ..hii game tumegawa point ya bure kwa Big samTumefanya uzembe mwingi tokea mwanzo wa mchezo
Klopp kama Klopp ameboreka sana his facial expression could tell all...Dah! Big Sam kweli anajua kumkamata pabaya Klopp
Hakuna magoli mliyokosa mkuu..yapi?..ikiwa shot on target tu first half ni moja na second half mmepata mwishoni mwishoniAisee magoli tumekosa mengi sio kawaida ..hii game tumegawa point ya bure kwa Big sam
Game ya leo imeniuma sana
Huyo Klopp alitaka kuishusha daraja Dortmund akafukuzwaKlopp ana nini Wakuu? Naona ameshakula njano hapa.
M mwenyewe sijaelewa Yan mchezo tumeuchukua wote tatizo ni kufunga ..mpaka tunafungwa goli jepesi sana Kama lile duuh ..Sijui walitegemea muujiza...
We were poor tody and Big Sam deserved the point... Proper game plan...
YNWA
Walishampiga lecister City gori 3-0
Mkuu naona tumekuwa na weekend mbaya... Vidraw vya kipuuz kwel kwel
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
hii mambo ya ku-pick scapegoat huwa siipendi............ timu nzima imehonyanga, wanashindwa vipi kuongeza goli kwa dk karibia 80?Jones katuuuza
Aisee haya manyama nyama ya sikuu na maxmass trees celebrationHangover za sikukuu hizi.
Ligi ikiwa open ndo haya mambo yanatokea, wenzio wanapoteza na wewe unawaiga.
hongera kwa kutuombea msibaNiambie kiongozi

Labda round ya pili mwezi Feb. Ya kwanza tulimla 3 ilikuwa tarehe 22 Nov.
Aisee haya manyama nyama ya sikuu na maxmass trees celebration
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Aisee nimeliona hili pia... Namuombea walau draw maana najua mouh hawez kukubal kupoteza game tatu mfululizoTottenham akishinda leo ataongeza pressure pale juu.
Msimu huu hakuna timu yenye uhakika wa kushinda game 5 mfululizo.
Naaam..hongera kwa kutuombea msiba![]()


,adui muombee njaaOk tufanye ni nafasi tulizokosa kufungaHakuna magoli mliyokosa mkuu..yapi?..ikiwa shot on target tu first half ni moja na second half mmepata mwishoni mwishoni
Mlikuwa hovyo leo