Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Haha atajiju Liverpool hii sio ile ya one man show...Nimeiona hiyo taarifa ESPN, ni kama anaonesha ametuchoka.
Anafanya invitation kwa Barca na Madrid kum-approach.
Match moja mmeshaanza kuvimba na kumzalau salah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haha atajiju Liverpool hii sio ile ya one man show...
We are past that era to be held at ransom by the players...
Even without him in the field we are winning that he will sleep knowing he is as important as the other boys...
Pazuri amesema hata kuongeza mkataba he is open to that if he is offered a new contract ...
Lakini kingine ni kwamba he is 28 and on peak at his age joining those Spanish giants make sense kutafuta new challenge...
Uzuri Edwards already kasha point replacement hivyo hakuna noma..
Every player has a price..
He has been a loyal servant so no hard feelings whatsoever whatever he decide in the future...
YNWA
Humu mzee baba mchezaji tunakwenda nae kwa kila mechi haha akizingua moja basi tunae hatuna muda wa majaribu mkuu unadhani kubakisha ubingwa kuna kubahatisha...Match moja mmeshaanza kuvimba na kumzalau salah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Subilin kiiama chaja
Haha atajiju Liverpool hii sio ile ya one man show...
We are past that era to be held at ransom by the players...
Even without him in the field we are winning that he will sleep knowing he is as important as the other boys...
Pazuri amesema hata kuongeza mkataba he is open to that if he is offered a new contract ...
Lakini kingine ni kwamba he is 28 and on peak at his age joining those Spanish giants make sense kutafuta new challenge...
Uzuri Edwards already kasha point replacement hivyo hakuna noma..
Every player has a price..
He has been a loyal servant so no hard feelings whatsoever whatever he decide in the future...
YNWA
Klopp on Mane reaction...
He was not angry because Mo came on, he was not happy because maybe he didn’t stay on the pitch until after the free-kick," he said. "You cannot play football like this if you are just a soldier and do everything what the bosses say, they do what I say, but they are human beings and react in a specific way. After the game Sadio was completely fine, it’s all good.”
Klopp the Legend.. Case closed its all good
YNWA
On the spot Mkuu...Hii front 3 kuna kitu hatuambiwi, ila tutakijua tu maana muda haudanganyi.
Mane is one of fittest forward in the world and also most dangerous yupo kwenye top 7..he has many suitors.. He works really hard to maintain this form..Anatujaribu huyo, nimeshangaa ile mentality aisee.
He is becoming arrogant.
Kama ulivyosema, hakuna mchezaji sasa hivi wa kututetemesha sana.
Mimi namwombea Mane apate timu kubwa pia. Namkubali jamaa ila sioni kama anapata heshima anayostahili Liverpool.
[emoji1][emoji1][emoji41][emoji38][emoji38][emoji38]Klopp on Mane reaction...
He was not angry because Mo came on, he was not happy because maybe he didn’t stay on the pitch until after the free-kick," he said. "You cannot play football like this if you are just a soldier and do everything what the bosses say, they do what I say, but they are human beings and react in a specific way. After the game Sadio was completely fine, it’s all good.”
Klopp the Legend.. Case closed its all good
YNWA
Mkuu mm mpaka niliamua kupandisha kifurushi kutoka 49 sasa hivi nalipa 89 halafu naona hela yangu inafanya kazi vzr kabisaSiku Ile na Spurs na jana..jinsi tunavyolala vizuri...hii timu ni dawa ya usingizi watu people...
Mimi bila hii timu nilikuwa silipii kifurushi DStv......
Siku hizi nalipa kifurushi bila kujali kabisa..
Hizi nyakati tutakuja kuzikumbuka sana huko baadae..
Beautiful ...so beautiful..
Hii ni kweli? Source?
Haha Mkuu kishushe mpaka 49 kwani UCL ni February 2021😏😏😎😎Mkuu mm mpaka niliamua kupandisha kifurushi kutoka 49 sasa hivi nalipa 89 halafu naona hela yangu inafanya kazi vzr kabisa
Yaaaah mwezi ujao nitakishusha aiseeeee maana daaaaaah liverpool imeshanitia wazimu kabisaHaha Mkuu kishushe mpaka 49 kwani UCL ni February 2021[emoji57][emoji57][emoji41][emoji41]
YNWA
Yeah utasevu chums kadhaa...Yaaaah mwezi ujao nitakishusha aiseeeee maana daaaaaah liverpool imeshanitia wazimu kabisa
Hamia Bob usiitese nafsi yakoSijui nihamie liverpool..
aargh nimegairi bora nibaki na chama langu tu.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Acha undeziSijui nihamie liverpool..
aargh nimegairi bora nibaki na chama langu tu.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]