Usiposhangilia ushindi utashangilia nnGame moja mnashangilia as if mmechukua epl
13 match out of 38
Achen mawenge
NOTED...Msikebehi kuandikisha umri wa uongo
We unafikiri akiandika umri wa ukweli ataweza kweli mtu aliezaliwa Afrika kuja kuchezea Rich and big Clubs of Europe ?
Route stations za career of successful African born footballers
African Local big Clubs Scouted form attained at age of 23>>>>Europe feeder Club(eg Basel,Ligue 1 clubs,Portugal primera league clubs etc ) taking you at age of 27 >>>>>Small Clubs of EPL,Bundesliga,La Liga,Serie A etc taking you at age of 29 >>>>>>Big Clubs at the end taking you at age of 32 which means if you are to document your right age and those rich clubs serving started at 32 you will be taking those millionaire of £€ yearly wages for just two years maximum
Kafungana na Sonny siyo.
Hahaha dhubutu....Tatizo huyu mjerumani hatabiriki atamuuza ukute
Sasa ndugu ina maana mifupa ya huyu Keita ni ya babu haha kwa hio huyu tutakwenda nae hivi hivi....umewahi kumwangalia vizuri mane? tafuta picha zake akiwa Salz uone alivyo........
hata huyu Keita ukiangalia picha zake akiwa kule Salz kabla hajaenda Leip utashangaa
Huyu klop kashakuwa kina juma lokoleJurgen Klopp: “Football at Anfield is just different. You can park the bus here or park the plane, you won't get away with it." https://t.co/CloJflFdb8
Nani asie ishi kwa matumaini? Huyo kuku tu ana matumaini kesho pakikucha akadonyoe jalalani.Sometimes ni vizuri kuishi Kwa matumaini
Mpaka sasa mwizi zimesalia hatua mbili tu nimkamate, labda kiporo kichache.Wonderful shall never end
Sisi tuna kimbiza mwizi kimya kimya, na mpaka sasa, zimesalia hatua mbili tumkamate.Nyumbu hawahawa ninaowajua Mimi[emoji3][emoji3][emoji3]wee jamaaa umenichekesha Sana...
Angekuwa mzungu yasingekataliwa, ni vile ni black ,Magoli yake aliyokuwa anafunga yalikuwa yanakata liwa na VAR.
Dah, mkuu hata hujishtukii na haka ka sentensi kako ulikokariri kila ujumbe unaka paste, huoni watu wamekupuuza wamenyuti?Sisi tuna kimbiza mwizi kimya kimya, na mpaka sasa, zimesalia hatua mbili tumkamate.