Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,024
Hapo maji ni ngumu kumeza maana naamini Kiduku/Diego Simeon ni mzoefu sana wa hiyo michuano ya UEFA Vs Lampard ambaye ndiye itakuwa ni mechi yake ya kwanza kama sikosei kwa hiyo 16 stage.Sahihi mzee, sasa mmepangiwa bingwa wetu wa mwaka jana, mtulipie kisasi.
Hapo maji ni ngumu kumeza maana naamini Kiduku/Diego Simeon ni mzoefu sana wa hiyo michuano ya UEFA Vs Lampard ambaye ndiye itakuwa ni mechi yake ya kwanza kama sikosei kwa hiyo 16 stage.
Ninachoomba kwanza kabisa Wachezaji wetu wasiwe na majeruhi.
Nyota njema ya matokeo ing'ae kwa Chelsea.
Lampard aje na mbinu za kutaka matokeo tu wala si ball possession pekee.
Naamini tutapita hapo na itatujengea kujiamini zaidi ktk hatua za nusu fainali n.k
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Rb na leicester hawana tofauti sana. Tunaweza piga nje ndani.
Bora umesema mapema......Nawaza tu Record yetu ya EPL ya Anfield inaweza kuvunjwa Wednesday hii.Hii timu yetu siyo ya kwenda na matokeo mfukoni msimu huu.
Inaweza kukupa surprise.
Hii timu yetu siyo ya kwenda na matokeo mfukoni msimu huu.
Inaweza kukupa surprise.
Bora umesema mapema......Nawaza tu Record yetu ya EPL ya Anfield inaweza kuvunjwa Wednesday hii.
Bora umesema mapema......Nawaza tu Record yetu ya EPL ya Anfield inaweza kuvunjwa Wednesday hii.
Absolutely naked truth we have a dead MF without any major significance when highly needed....Nilikuwa nafanya research ndogo kuhusu Front 3 yetu nimegundua bado ni Tishio sana lakini inaangushwa kwa kufanya kazi zisizokuwa zao.
Timu ya mpira ina sehemu kuu 3
1 - Ulinzi (Kipa na Mabeki)
2 - Viungo
3 - Washambuliaji
Uhalisia wa Timu yetu
1) Tupo na Ulinzi
2) Tupo na ushambuliaji
3) Hatuna Viungo
Hivyo mpira unakuwa na part mbili ie. ni kati ya Ulinzi na Ushambuliaji bila ya kupata msaada wowote kutoka kwa Viungo.
Washambuliaji kufanya kazi zisizokuwa za kwao:
Baada ya kuwa Timu yetu imekuwa na Viungo wasiokuwa na uwezo wowote ule wa kuwasaida washambuliaji, Front 3 yetu imekuwa na kazi ya kushuka chini kwenye Boksi letu kutafuta mipira wao wenyewe na kuikimbiza juu ili watengeneze nafasi za kufunga, hii imetokana na kutopata msaada wowote kutoka kwa Viungo wetu.
Unaweza kuta ndani ya Dakika 90 Mane, Salah na Firmino hawajapokea pasi yeyote ya nafasi ya kufunga kutoka kwa Gini au Hendo.
Hii inawapa kazi kubwa sana Front 3 wetu na kuwafanya wachoke waonekane hawana uwezo kwasababu tu wamekosa Mtu wa kuwasaidia.
Imagine Front 3 hii yetu nyuma yao kungekuwa na Mtu kama KDB, Bruno au Pogba! Hivi unahisi kuna game ingeishia bila ya wawili kati yao kufunga goli? Yani wasingesumbuka kutafuta mipira chini na kujipasia wenyewe ili wafunge.
Kwakweli tunahitaji Mido wa kuwasaidia Washambuliaji wetu kwa kuwatengenezea nafasi za kufunga.
Hahahaha hawa tunao ndugu...It so funny
I find my self with laughter when you mention Those guys (Hendersonand Gini)
😂
Hahaha Mkuu huyu kama sikosei ana release clause ya 🇺🇸 300m...Habari kubwa na za uhakika
Marcos Llorente baby [emoji123][emoji118][emoji118][emoji121][emoji115][emoji116][emoji109][emoji110][emoji106][emoji108]View attachment 1650845
Yuko Atletico MadridHahaha Mkuu huyu kama sikosei ana release clause ya [emoji631] 300m...
Kuna kipindi Pep walimhitaji na walikataliwa na Manchester United nao kuna kipindi walikua wanamtazama...
YNWA
Akaenda kupewa mvinyo na Sir. Alex FergussonTukifungwa na spurs kesho ubingwa basi tena
The way I hate Mourinho...ntashindwa kula tukifungwa
The slip hadi leo nikiona clip nakosa raha