Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Muda wa kutafuta statistics za Liability player kama Keita sina.

Keita is more than a liability kwa Club.......He is a big Liability .
That's not a Footballer.

19 yrs old local lad CURTIS JONES was far better than £48 ml Keita.
Kipenzi chako Gini anampita hadi Henderson kwa square passes
 
Don
Remember chelsea alicheza 86 games from february 2004 to october 2008 bila kupoteza games yoyote ya league alizocheza home
 
Muda wa kutafuta statistics za Liability player kama Keita sina.

Keita is more than a liability kwa Club.......He is a big Liability .
That's not a Footballer.

19 yrs old local lad CURTIS JONES was far better than £48 ml Keita.
Na pia usiwe na muda wa kumnanga mchezaji wa high Caliber ila ana tatizo la majeruhi kama Keita
 
Spurs & then Crystal palace..

I'm slightly worried about Spurs, because wapo kwenye top form, but i think it will be a narrow win or a draw, itakuwa at Anfield, so ni big advantage.

But, Crystal Palace will be TOUGH.
Yes, you are right. You should be worried about that team with a real cock on their logo. They are very dangerous in terms of obtaining results from top teams.

Beat United 6-1

Beat City 2-0

Beat Arsenal 2-0

Chelsea survived, but will be shot again in the reverse fixture

Guess what's next for you on Wednesday night.
 
Hahaha me bingwa wako wako wa kihistoria

Mkuu unatka kunmbia ukicheza mechi za epl ukiwa home unakaza kuliko UEFA ukiwa home???

Me nadhan hata EPL home unachapika ila muda wako bado unakarbia tena Safari hii nitakuchapa hapo hapo uwanja wko wa 40k.
 
Man una imani na Keita to come and offer something to our course...

Nimemjaribu kumfuatilia namuona kama mzito fulani sijui ni macho yangu tu lakini naona aidha ha fit kwenye system ama hana tena imani na mwili wake mwenyewe sababu ya hizi recurring injuries....

Ukimtazma katika gemu 5 utaona gemu moja anakupa jambo zingine zote anachemka mbaya...

To be frank huyu ingekua tunapiga kura yangu ingekua aodoke tu akatafute maisha kwingine...

Henderson na Gini lol wanakua na gemu moja nzuriiiiii aafu gemu 3 hovyoo in short hatuna consistency pale MF especially away form na hili ni tatizo maana when our MFs get lost tunakosa dimension ya LB na RB kupeleka mashambulizi ndio kama jana Scott alijua vyema black our pembeni channels and we become toothless and aibu Klopp alichelewa kuliona lile...

Kloop kashajua ana MF kimeo wenye almost nill consistency na ndio maana ameamua kumbadili Takumi position na sasa amekua MF ili mradi kuleta uhai pale kati and all the best Takumi....

Ni ngumu kutegmea kushinda EPL kwa kutegemea kushinda mechi za nyumbani tu huku on the road tunaumia...

Jones woow whats a talent in making huyu dogo ni jembe haswa at his age and his vision and ball ideas ni world class in the making hapa tumeokoa almost £40m kuingia sokoni kupata this kind of talent...

Now going forward shinda kuu ni how do we keep Thiago, Shaqir, Chamberlain fit ambao wote wana those killer cutting passes kwenye final 3rd...ni aibu when our usual creators LB na RB wanabanwa tunakua butu kiasi hiki yaaani haikumbaliki...

Next 2 games ni noma kwanza tupo nyumbani na Spurs Jumatano aafu Jumamosi tupo na Crystal Palace ugenini itakua na moja ya viwanja nisivyovipenda ni pale Eagles...

Muda ni mchache all the best kwa vijana..

YNWA
 
Mimi siyo linguistic, na ni dalili za mwisho kuishiwa hoja hadi umehamisha akili yako kuleta personal attacks, pole sana Chifu, hii ndiyo dunia.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app

Nimesema ungeandika kiswahili ningeelewa ulichoandika ili nikujibu, maana tulikuwa tunajadili kwa kiswahili, then nikaona umenibadilikia kwa kutumia kiingereza tena kigumu sana.
 

Ukiweza kutaja miaka mliyochokuwa ikazidi 6 nahamia kushabikia Chelsea au najipiga ban mwaka mzima.

Toka Chelsea imeumbwa, kama mmechukua Ligi kuu zaidi ya mara 6, niwekee miaka hapa.
 
Hahaha me bingwa wako wako wa kihistoria

Mkuu unatka kunmbia ukicheza mechi za epl ukiwa home unakaza kuliko UEFA ukiwa home???

Me nadhan hata EPL home unachapika ila muda wako bado unakarbia tena Safari hii nitakuchapa hapo hapo uwanja wko wa 40k.

Malizana na timu za saizi yako mkuu, mimi kwa misimu hii siyo saizi yako.
 
Tuanze kwanza penati tuliyonyimwa Chelsea pale OT Magure akimkaba Azpilicueta, itoshe tu kusema wakati mwingine waamuzi huwa na mahaba yao au wanabeti full stop.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
. Kwanza changanua HARIMAGWAYA Ni mwisho MBritish na Reffar Ni MBritish Wabritish huwa wanabebana tofauti na hapo kipaji chako kikusaidie mwenyewe
 
Haya majamaa yanajificha kwenye kivuli cha epl, hapo anfield mbona huwa mnachapika tu .

mbona atlanta katoka na Point tatu hapo

Atletico madrid kawatoa uefa hapo anfield


Sijaona Point ya anfield mimi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…