Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Manapoona

Man City ana draw

Spurs ana draw

Chelsea anapigwa

Msije mkadhan nyie ni special sana

Mungu ni wetu sote

Hii Dunia ni ya wote

Maombi yangu yametimia,

Asante sana mwenyezi Mungu

Endelea kutenda miujiza hadi jumatano

Kampe nguvu SON Kama za samson ,akawapanue pale anfield Kama alivopanua mdomo wa simba

Wote tuseme Amina...!
 
Honestly, I don't think we don't deserve the EPL crown this term. Even if we'll win it miraculously somehow.
Away form is full of trash...

Hesabu za ubingwa hua ni piga timu zote chini ya Big 4 tena mzunguko wa kwanza..

Lakini sasa tumekua ni timu ya sare ndugu...

Klopp sijui alishasahau kipigo cha Villa maana timu za kule chini wanakopi na kupasti kutupiga aisee ama kutuzuia na hakika wamefanikiwa sana tu Fulham, Brighton, Everton, Citizens nk...

Hii ni wake up call kwa Klopp na jopo lake sio kila gemu ni 4 3 3 especially unavyoona timu pinzani kucheza kama unit...

Hii gemu we deserved to lose kwa kweli Fulham were the better team...

YNWA
 
🏃🏃🏃
 
Mnapenda sana kuingia nyuz nyingine ila mkisemwa kidogo tu kwenye ile nyuzi yenu mnakuwa wakali sana ifike hatua muwe mnajua maana ya Ushabiki.
Mkuu huu ujumbe ni vyema ungefikiaha kwa wahusika. Nadhani ungekuja na ushahidi mara yangu yamwisho kuingia hili jukwaa ni lini pia niambie ni lini nilikujia juu ulipokuja kwetu.
 
Nimejaribu kukuambia yanayoendelea kwenye lile jukwaa lenu kiongoz tusi take serious sana haya mambo(hii ni burudani tu) .
 
Hahahaha wengine kama Shaqir hata sijui waliumia kwenye gemu ipi...

Tumejaza ma pancha mpaka basi...

YNWA
Kwanz nilishangaa Divock kupewa mkataba mpya.
Bado nashangaa kuona Shaqir hakuuzwa agosti
Taendelea kushangaa kuwaona hawa watu Anfield, na naweza kuhitimisha kwa kusema Jürgen anataka kujitengenezea kanjia ka kufukuzwa
 
Honestly, I don't think we don't deserve the EPL crown this term. Even if we'll win it miraculously somehow.
If I have to take any consolation for the LFC situation, it seems msimu huu kwenye hizi hatua za mwanzoni, ligi zote za Europe ni ngumu aisee.
It seems Kwa kuna some common and fundamental issues kwenye hizi timu kubwa barani humo. Packed schedule anyone?

I'll stop being too harsh on LFC for now because there appears to be a context across the board.

20201213_213050.jpg

20201213_212931.jpg

20201213_213554.jpg

20201213_213455.jpg

20201213_213346.jpg
 
Away form is full of trash...

Hesabu za ubingwa hua ni piga timu zote chini ya Big 4 tena mzunguko wa kwanza..

Lakini sasa tumekua ni timu ya sare ndugu...

Klopp sijui alishasahau kipigo cha Villa maana timu za kule chini wanakopi na kupasti kutupiga aisee ama kutuzuia na hakika wamefanikiwa sana tu Fulham, Brighton, Everton, Citizens nk...

Hii ni wake up call kwa Klopp na jopo lake sio kila gemu ni 4 3 3 especially unavyoona timu pinzani kucheza kama unit...

Hii gemu we deserved to lose kwa kweli Fulham were the better team...

YNWA
Let's hope there's still a chance.

It seems ligi kubwa zote Europe these so called "big teams" are going through the same patch.
 
Nimejaribu kukuambia yanayoendelea kwenye lile jukwaa lenu kiongoz tusi take serious sana haya mambo(hii ni burudani tu) .
Naelewa lakini tutambue tunakutana humu hatujuani kila mtu anabackground yake so ukiona mtu anaporomosha mitusi wewe ignore ndicho nachofanya mimi. Kuna wachache wanafanya tunaonekana wote wapuuzi lakini hatuwezi kuacha jukwaa kwa sababu ya hao wachache ndio maana ikawekwa IGNORE
 
Kwanz nilishangaa Divock kupewa mkataba mpya.
Bado nashangaa kuona Shaqir hakuuzwa agosti
Taendelea kushangaa kuwaona hawa watu Anfield, na naweza kuhitimisha kwa kusema Jürgen anataka kujitengenezea kanjia ka kufukuzwa
Hahaha ana mkataba mpaka 2024 huyu Jurgen Klopp....

Japo Edwards ni supa guy kwenye usajili nadhani ni wakati pia wa kureview hawa ma dead woods klabuni wamekua wengi na msaada wao unakua finyu sana na mishahara yao inatisha ndugu...

Ngoja tuone January hii nini kitatokea maana bila Fabby kua HM ki ukweli tunakosa umakini MF wanaocheza Gini, Hendo, Jones sio natural poachers wa mipira kama Fabby....

YNWA
 
Naelewa lakini tutambue tunakutana humu hatujuani kila mtu anabackground yake so ukiona mtu anaporomosha mitusi wewe ignore ndicho nachofanya mimi. Kuna wachache wanafanya tunaonekana wote wapuuzi lakini hatuwezi kuacha jukwaa kwa sababu ya hao wachache ndio maana ikawekwa IGNORE
Bas kheri kiongozi kama tumeelewana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom