King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Come on boys
Poor balls man...Today our weakest point is Midfield area
Hahaha Scott ni old skol gaffer muzee wa street football...Kwa formation wanacheza hawa wahuni siioni tukipata goli
Kwa uchezaji huu na kuendelea kuwa na wachezaji wapumbavu na wa hovyo kama Keita,OX, Shaqiri, Minamino, msimu huu hatuna chetu.
Kuna wachezaji wanaumiza sana Mkuu.Never Give Up
Kuna wachezaji wanaumiza sana Mkuu.Never Give Up
Inabidi mshinde maana mlivyopigwa moja mi ndo nikaweka rehani kwamba mnashindaHii game tunashinda
Never! Labda km inegekuw dakika ya 60Hii game tunashinda
Bingwa anapimwa kwa bahat pia mkuuInabidi mshinde maana mlivyopigwa moja mi ndo nikaweka rehani kwamba mnashinda
Hawa watoto wenge mno.Jones what?????