Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game ya droo inajulikana tangu inapoanza.
Hawa walionesha kutafuta droo
 
Nipo Korogwe, Manundu, nielekezeni sehemu wanayoonyesha mpira.
 
Hii ndio Liverpool tunayo aminishwa ni tittle contender. Ila sina imani kama Fulham wataendeleza hii form kipindi cha pili
Mnapenda sana kuingia nyuz nyingine ila mkisemwa kidogo tu kwenye ile nyuzi yenu mnakuwa wakali sana ifike hatua muwe mnajua maana ya Ushabiki.
 
hii timu bwana yani fulham wanatutoa jasho? next week ni mourihno ngoja tuone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom