Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Lile goli la Garcia enziiii hizo UCL ndio mambo yalipoharibika kabisa...Mourinho linapokutana na Liverpool linakuaga bishi sana.
YNWA
Lile goli la Garcia enziiii hizo UCL ndio mambo yalipoharibika kabisa...Mourinho linapokutana na Liverpool linakuaga bishi sana.
Keita atumike kwa kumpata Dayot tena January hii...Keita is a total flop,This guy can't play 2 consecutive games
WE NEED TO SELL HIM.
Bwana huu ndogo tatizo yupo direct mno yaaani aafu habadiliki kamwe injury zake zipo almost uniform...
Anahitaji malaika wamlinde maana bado tuna changamoto ya goli nje ya kumi na nane na kwa sasa ndio mchezaji pekee mwenye udhubutu wa shooting those long range goals...
YNWA
Keita is a total flop,This guy can't play 2 consecutive games
WE NEED TO SELL HIM.
Najua mtashinda leo ila msisahau kuwa ubingwa mwaka huu una hakimiliki tayari.4 minutes to go ......
Bahati mbaya tu.Hahahaha Mourinho kashikwa patamu hukuu...
YNWA
Najua mtashinda leo ila msisahau kuwa ubingwa mwaka huu una hakimiliki tayari.
Tarehe 16 siyo mbali ujue.I see last year's Leicester inside Spurs