Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hello!

Nimeamua kuwatag wale Active members wote wa hii Thread kutambulisha hii ID yangu.

I'm KING NGWABA nimeamua kuja na hii ID ambayo ilikuwa Dormant kwa miaka Zaid ya Mitano tokea niitengeneze May 2015 ni sikuwa nikiitumia.

Nimefanya uamuzi huu baada ya Wiki kadhaa Sasa kushindwa kuingia JF kupitia Akaunti yangu halisi ya King Ngwaba na nimeshindwa kujua sababu ni nini.

Nimejaribu kwenye simu zaidi ya 5 nimeshindwa, nimejaribu kwenye Computer nako nimeshindwa, nahisi VPN nilizokuwa natumia kuna nyengine zilikuwa zinaiba na kublock Account za watu.

So, nimekuja na ID hii as King Ngwaba

Penison
Captain Marvelous

Masamila

DullyJr

zumbemkuu

Don Clericuzio

Baba Swalehe

Manga ML

BARDIZBAH

BAKOI

nguvu

Bengalisis

Karibu mkuu, vipi umejaribu ku-reset password?

Kama email unaikumbuka nadhani hii ni option unaweza kuijaribu.
 
Baada ya Chelsea kuchoma jana kwa Everton, leo Tottenham, Liverpool, Arsenal na Leicester wako uwanjani.

Je, kuna atakayechoma?

Kwa shauku ya kutaka kubaki juu Liverpool peke yake, natamani Crystal Palace awapunguze spidi Tottenham. Ili game yetu Jumatano tupanue gap zaidi.
 
Harry Kane tayari katupia.
 
Eeeeh mwenyezi Mungu

Fanya fanya hawa Liverpool Leo wafungwe au wapate draw, ikiwezekana wapoteze point 3 kabisa

Tazama namna wanavo Press kwa nguvu, huku wakitaka kuchukua epl mara mbili mfululizo huku kuna wengine hawajachukua hata mara moja

Tazama Kama Arsenal anavopata tabu,

Naomba haya yote kwa jina la baba,mwana na roho mtajatifu .amina

Wape fulham nguvu uliyowapa Aston Villa ili wakafanye Kama mapenzi yako
ahahah leo umekuja kwa heshima tutakusikiliza kidogo tunawafunga goli chache tu 3 tena kipindi cha pili
 
Adjustments.jpg
 
Hello!

Nimeamua kuwatag wale Active members wote wa hii Thread kutambulisha hii ID yangu.

I'm KING NGWABA nimeamua kuja na hii ID ambayo ilikuwa Dormant kwa miaka Zaid ya Mitano tokea niitengeneze May 2015 ni sikuwa nikiitumia.

Nimefanya uamuzi huu baada ya Wiki kadhaa Sasa kushindwa kuingia JF kupitia Akaunti yangu halisi ya King Ngwaba na nimeshindwa kujua sababu ni nini.

Nimejaribu kwenye simu zaidi ya 5 nimeshindwa, nimejaribu kwenye Computer nako nimeshindwa, nahisi VPN nilizokuwa natumia kuna nyengine zilikuwa zinaiba na kublock Account za watu.

So, nimekuja na ID hii as King Ngwaba

Penison
Captain Marvelous

Masamila

DullyJr

zumbemkuu

Don Clericuzio

Baba Swalehe

Manga ML

BARDIZBAH

BAKOI

nguvu

Bengalisis
Pole ndugu tumekusoma....

Bila shaka Adrian kwa sasa mtafutie timu ale kona naona kama vile Klopp kashamchoka...

YNWA
 
Ni kitu cha kawaida tu hicho kutokea kwa wachezaji mpira.
Hata Man City msimu uliopita alipitia hichi kikombe.

Nahisi kuanzia Jan tutakuwa sawa
Hivi Mkuu King mbona mimi na wasiwasi na January kama miaka yote ndio hua tunaanza poteana aisee...

Whats makes this year a bit different na upo uwezekano usajili wa beki usiwepo kwa vile hawa wasaidizi wa academy wame step up...

Time will tell...

YNWA
 
Yani sashivi hata Akiumia Alisson msimu mzima nina amani kabisa as long as Adrian sio chaguo namba mbili tena.

Yani Bingwa Mtetezi anamchomesha 7??? No way.
Hahahaha Allison leo naona amerejea mazima...

Adrian kwa sasa mapema atufute timu asepe zake....

YNWA
 
Hivi Mkuu King mbona mimi na wasiwasi na January kama miaka yote ndio hua tunaanza poteana aisee...

Whats makes this year a bit different na upo uwezekano usajili wa beki usiwepo kwa vile hawa wasaidizi wa academy wame step up...

Time will tell...

YNWA

Mimi naamini January tutakuwa vyema Kwasababu hakuna issue ya wachezaji kuchoka kutokana na Kuwa wengi wamekaa nje kwa Majeruhi na Covid.
Hivyo tutakuwa Vizuri bali hasara kwa wale ambao hawakupata injury nyingi eg. Spurs hivyo wachezaji wao hawakupumzika.
 
Eeeeh mwenyezi Mungu

Fanya fanya hawa Liverpool Leo wafungwe au wapate draw, ikiwezekana wapoteze point 3 kabisa

Tazama namna wanavo Press kwa nguvu, huku wakitaka kuchukua epl mara mbili mfululizo huku kuna wengine hawajachukua hata mara moja

Tazama Kama Arsenal anavopata tabu,

Naomba haya yote kwa jina la baba,mwana na roho mtajatifu .amina

Wape fulham nguvu uliyowapa Aston Villa ili wakafanye Kama mapenzi yako
 
Huyo ana dakika zake 30 tu za kurudi Kitabdani
Bwana huu ndogo tatizo yupo direct mno yaaani aafu habadiliki kamwe injury zake zipo almost uniform...

Anahitaji malaika wamlinde maana bado tuna changamoto ya goli nje ya kumi na nane na kwa sasa ndio mchezaji pekee mwenye udhubutu wa shooting those long range goals...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom