Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Kwa hiyo Jota kaumia nae tena? Daaah kwani tatizo hasa la injuries pale Anfield ni nini hasa?
Swala ni mazoezi magumu wanayopewa wachezaji? Au ni kuwa na madaktari wabovu hasa wa viungo na mazoezi? Kuna shida mahali hata kama tunasema wachezaji wanaumia kutokana na kucheza mechi nyingi bila rotation hii sio kweli. Kwani hata wachezaji ambao wameingia kwenye kikosi bado wanakumbwa na matatizo kama haya. THERE IS A PROBLEM AT LIVERPOOL.
IMG-20201123-WA0002.jpg

Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
 
Eeeeh mwenyezi Mungu

Fanya fanya hawa Liverpool Leo wafungwe au wapate draw, ikiwezekana wapoteze point 3 kabisa

Tazama namna wanavo Press kwa nguvu, huku wakitaka kuchukua epl mara mbili mfululizo huku kuna wengine hawajachukua hata mara moja

Tazama Kama Arsenal anavopata tabu,

Naomba haya yote kwa jina la baba,mwana na roho mtajatifu .amina

Wape fulham nguvu uliyowapa Aston Villa ili wakafanye Kama mapenzi yako
 
Ndio maana huwezi kuacha PUNYETO.
 
Kwa hiyo Jota kaumia nae tena? Daaah kwani tatizo hasa la injuries pale Anfield ni nini hasa?
Swala ni mazoezi magumu wanayopewa wachezaji? Au ni kuwa na madaktari wabovu hasa wa viungo na mazoezi? Kuna shida mahali hata kama tunasema wachezaji wanaumia kutokana na kucheza mechi nyingi bila rotation hii sio kweli. Kwani hata wachezaji ambao wameingia kwenye kikosi bado wanakumbwa na matatizo kama haya. THERE IS A PROBLEM AT LIVERPOOL.View attachment 1648850

Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app

Ni kitu cha kawaida tu hicho kutokea kwa wachezaji mpira.
Hata Man City msimu uliopita alipitia hichi kikombe.

Nahisi kuanzia Jan tutakuwa sawa
 
Hello!

Nimeamua kuwatag wale Active members wote wa hii Thread kutambulisha hii ID yangu.

I'm KING NGWABA nimeamua kuja na hii ID ambayo ilikuwa Dormant kwa miaka Zaid ya Mitano tokea niitengeneze May 2015 ni sikuwa nikiitumia.

Nimefanya uamuzi huu baada ya Wiki kadhaa Sasa kushindwa kuingia JF kupitia Akaunti yangu halisi ya King Ngwaba na nimeshindwa kujua sababu ni nini.

Nimejaribu kwenye simu zaidi ya 5 nimeshindwa, nimejaribu kwenye Computer nako nimeshindwa, nahisi VPN nilizokuwa natumia kuna nyengine zilikuwa zinaiba na kublock Account za watu.

So, nimekuja na ID hii as King Ngwaba

Penison
Captain Marvelous

Masamila

DullyJr

zumbemkuu

Don Clericuzio

Baba Swalehe

Manga ML

BARDIZBAH

BAKOI

nguvu

Bengalisis
Karibu sana Bro,
 
Pamoja sana mwamba na karibu sana
 
Pamoja sana.
 
Wewe dogo acha mawenge
 
Kwa hiyo Jota kaumia nae tena? Daaah kwani tatizo hasa la injuries pale Anfield ni nini hasa?
Swala ni mazoezi magumu wanayopewa wachezaji? Au ni kuwa na madaktari wabovu hasa wa viungo na mazoezi? Kuna shida mahali hata kama tunasema wachezaji wanaumia kutokana na kucheza mechi nyingi bila rotation hii sio kweli. Kwani hata wachezaji ambao wameingia kwenye kikosi bado wanakumbwa na matatizo kama haya. THERE IS A PROBLEM AT LIVERPOOL.View attachment 1648850

Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
Labda wanaumizana makusudi ili wengine wapate namba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom