King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Tarehe 16 siyo mbali ujue.
That's what I'm waiting for
Tarehe 16 siyo mbali ujue.
Hiyo mechi itatuweka kwenye nafasi nzuri nzaidi ya kutwaa ubingwa msimu huu.That's what I'm waiting for
Si unajua tena hivi vitimu vidogo. Liva akifunga goli moja tu mchezo umeisha.Fulham wanajifanya kuanza na kiherehere! Let's wait and see kama wanaweza kumaintain hii pace kwa more than 30 minutes
Fulham wanajifanya kuanza na kiherehere! Let's wait and see kama wanaweza kumaintain hii pace kwa more than 30 minutes
Hiyo mechi itatuweka kwenye nafasi nzuri nzaidi ya kutwaa ubingwa msimu huu.
Ile gemu bhana ushindi ulikua wenu kabisa...Bahati mbaya tu.
Gini amefanya useless turn
He's uselessKwanini Adrian hayupo hata benchi?
Kwa zile ngumu kama hii ya leo bwana Chambo ingemfaa sana na mashuti yake shinda je angemaliza dakika ngapi bila majeraha...The likes of Steven Gerrard, Scholes, Lampard and Ballack waliokuwa na utamaduni wa kushot out of 18yards ni vigumu sana kutokea tena kwa zama hizi.
Sasa tuna watu wa tap-in