M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,030
Spurs bado hawajakutana na full throttle.Duuh yaani Spur wame mature kwa muda mfupi sana aisee... Wanacheza kama unit moja hakuna kutegea wala nini.. Kane unamuona kusaidia kuzuia na kuanza mashambulizi... Ila huyu dogo Hoebia kawaboresha sana Spurs...
Mikel kwa kweli alianza vyema sana ila haka katoto Sako kanapoteza mipira mingi sana ki ukweli haya mapumziko yamekuja wakati mwafaka kazi kwake sasa warudi na plan B maana plan A imegoma kabisaa...
Hakika kila timu ipambane ishinde mechi zake....
YNWA
Wao wana thrive on parking the bus and those balls over the top or through the channels. We know Klopp has got the best medicine against that sort of tactic.