Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kumbe ndugu na wewe umeliona...Hivi huyu Tismikas pamoja na kwamba ni beki namba tatu hawezi kukaa beki 2?
YNWA
Kumbe ndugu na wewe umeliona...Hivi huyu Tismikas pamoja na kwamba ni beki namba tatu hawezi kukaa beki 2?
Mguu wa ma*I ule hawezi beki 2Kumbe ndugu na wewe umeliona...
YNWA
My boy Coady Hahahahahahahahah always redsCoadyyyy our very own hahaha....
YNWA
Nikajua anapiga miguu yote haha...Mguu wa ma*I ule hawezi beki 2
Yaaaah lazima tuanze kulifikiria hili, mfano huwa nacheza mpira beki wa pembeni ukiniweka kokote nakiwasha hivyo hivyoKumbe ndugu na wewe umeliona...
YNWA
Once a reddddd haha bring em on...My boy Coady Hahahahahahahahah always reds
Hahaha huyo ni kilaka Milner tu mwenye huo uwezo ama Fabby the baldest boy..Yaaaah lazima tuanze kulifikiria hili, mfano huwa nacheza mpira beki wa pembeni ukiniweka kokote nakiwasha hivyo hivyo
Na iwe hivyooooo mpaka dakika ya mwisho...
Mane bana sijui anataka nini huyu mnyamweziii....
Hizi kosa kosa nyingi sana kwa levo yake....
YNWA