Kama unaweza kummention mdau hapo sehemu niliyocounter hoja ya midtable team nenda ukammention sijioni nikirudia kuelezea kitu kimoja.Na usisahau kwamba mwaka 2018 kamaliza nafasi ya 6
Castr
ahahahah kumbe bado hujalalaKama unaweza kummention mdau hapo sehemu niliyocounter hoja ya midtable team nenda ukammention sijioni nikirudia kuelezea kitu kimoja.
Tuanze polepoleahahahah kumbe bado hujalala
Ulikuwa ni utani tu mkuu wangu maana una siku nyingi hujatia neno huku nikaona sio vibaya nikikuchokonoa
Tuanze polepole
Msimu wa 2009/10
Liverpool anamaliza msimu akiwa nafasi ya 7.
Arsenal anamaliza akiwa nafasi ya 3.
Msimu wa 2010/11
Liverpool anamaliza nafasi ya 6.
Arsenal anamaliza akiwa nafasi ya 4.
Msimu wa 2011/12
Liverpool anamaliza akiwa nafasi ya 8.
Arsenal anamaliza akiwa nafasi ya 3.
Msimu wa 2012/13
Liverpool anamaliza na nafasi ya 7.
Arsenal anamaliza na nafasi ya 4.
Msimu wa 2013/14.
Liverpool anamaliza akiwa nafasi ya 2.
Arsenal anamaliza na nafasi ya 4.
Msimu wa 2014/15
Liverpool anamaliza akiwa nafasi ya 6.
Arsenal anamaliza akiwa nafasi ya 3.
Msimu wa 2015/16
Liverpool anamaliza na nafasi ya 8.
Arsenal anamaliza na nafasi ya 2.
Msimu wa 2016/17.
Liverpool anamaliza akiwa nafasi ya 4
Arsenal anamaliza na nafasi ya 5.
Msimu wa 2017/18
Liverpool anamaliza na nafasi ya 4.
Arsenal anamaliza na nafasi ya 6.
Watu hua wanasema mashabiki wa liva ni humble, sababu ni kwavile wamestruggle sana kiasi kwamba ilibidi washike adabu so siku hizi wanajifanya wamesahau kwamba liva kuna msimu ilikua haiwezi kwenda hata Europa.
So anatokea Don Clericuzio anakuambia Arsenal ni midtable team unashangaa kidogo ila unamuacha maana waweza kuta wakati liva hainusi hata europa alikua hana time na mpira.
Liverpool ina mafanikio hivi karibuni ni juu yake kua na consistency ili kuwapa back up mashabiki ya kujimwambafai kama hivi.By then ukiita Liverpool midtable team nisingekubishia, kwa sababu kama nimekaa nje ya top 4 kwa nini nisiwe midtable?
Hapa mimi sijazungumzia ushabiki, nimezungumzia current ranking.
We have top 4 (now top 6 as you would call it).
We have midtable teams, hizi ni between 7th to around 14th.
And lastly we have lower table teams, hizi ni zile zina struggle kubaki kwenye ligi.
2009-2016 ni top four tu hujanusa harufu ya ubingwaLiverpool ina mafanikio hivi karibuni ni juu yake kua na consistency ili kuwapa back up mashabiki ya kujimwambafai kama hivi.
Liverpool ina mafanikio hivi karibuni ni juu yake kua na consistency ili kuwapa back up mashabiki ya kujimwambafai kama hivi.
Acha double standards.2009-2016 ni top four tu hujanusa harufu ya ubingwa
2017-2020 Liverpool fainali mara mbili UEFA na kuchukua kombe mara moja EPL moja so tumuache Don Clericuzio ajidai
Boss mwezi nyuma liva na man u walisuggest Project Big Picture. Ili ile project ianze kazi ilitakiwa ipigiwe kura na top teams.Kama umesoma vizuri post yangu, sijazungumzia historia, nimezungumzia current status.
Mind you, siyo kwamba nimeandika hivyo kwa sababu ya msimamo mlioko kwenye table kwa sasa, nimeangalia pia kama kuna indicators zozote za ninyi kumaliza nje ya midtable msimu huu.
Mfano rahisi ni Man City, yuko kwenye midtable now, lakini huwezi kumwita midtable team kwa sababu si muda mrefu atakuwa ameondoka huko.
Castr naomba unijibu hii, ili timu iitwe midtable, inabidi iwe na sofa zipi?
Boss mwezi nyuma liva na man u walisuggest Project Big Picture. Ili ile project ianze kazi ilitakiwa ipigiwe kura na top teams.
Miongoni mwa hizo timu ni Arsenal.
Project ilikua inazipa baadhi ya timu kura ya veto.
Miongoni mwa hizo timu ni Arsenal.
Project ilikua inazipa ujumbe timu zilizokaa kwenye ligi kwa muda mrefu.
Hapa ndiyo unakuta Tottenham na wenzake.
Hii project haiitambui Arsenal kama midtable team na ilianzishwa na watu ambao naamini wana right info kunizidi mimi na wewe.
Niliandika humu baada ya ile project kua suggested. Nilisema liva haina uhakika wa kujishikilia inahofia kurudi ilipotoka na man u inataka kurudisha older ways za kubebwa.
Hiko ndiyo niliandika.
Lipia kiingilio kwa admin wa uzi wa livaHuu mjadala wa midtable team nimeuelewa naomba tuendelee nao kwa leo.
Midtable ngapi unazishuhudia Europa au UCL?Tunaweza kuwa tunapishana kwa sababu hatujapeana ufafanuzi wa nini kila mmoja anaelewa kuhusu midtable team.
Nimekuomba unijibu kwa uelewa wako, ni sifa gani ambazo zinasababisha timu iwe considered kuwa midtable team?
Midtable ngapi unazishuhudia Europa au UCL?
Bro, tuchukulie kwamba nilikuwa nafanya utani.
Naamini una jibu la swali langu, lakini kwa sababu unajua kwamba ukilijibu utajikuta umeiweka Arsenal kwenye hiyo category inabidi ulikwepe kwa kuniuliza pia.
Hata SPURS mkuu unajua huwa tunamsahau sana huyu jamaa kwenye hili kundi.Arsenal ni midtable team, siyo team ya kuitumia kama mfano unapoizungumzia Liverpool mkuu.
Wolves, Arsenal, Newcastle, Crystal Palace, Southampton nk sasa hivi ni timu zinazo ongea lugha moja.
Boss chances are you are writing this on your way to work am writing this while nimelog in ajira portal narefresh page.Bro, tuchukulie kwamba nilikuwa nafanya utani.
Naamini una jibu la swali langu, lakini kwa sababu unajua kwamba ukilijibu utajikuta umeiweka Arsenal kwenye hiyo category inabidi ulikwepe kwa kuniuliza pia.