OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Hahahahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu tafuta dawa, bado hujapona.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hahahahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu tafuta dawa, bado hujapona.
Mutaendelea kubamizwa tu hakuna namna.Baada ya kikosi kilichopangwa jana kushindwa kutupa matokeo, nimeshtuka kidogo kuhusu mbio za ubingwa na majeruhi zinazotuandama.
Naomba Mungu majeruhi yasiongezeke aisee, maana hali ya backline inaweza kuwa tete zaidi.
Robbo, Matip, Fabinho are expendables for now. I hope TAA and Henderson are recovering soon.
Mbio za EPL ni ndefu.
Nimekaa nasubiri vile virekodi vyako mkuu, dhidi ya atalanta naona kimyaaaaaaaaaaaa
Mendy amefungwa goli moja tu hadi sasa kwenye UEFA.
Allison kashabamizwa za kutosha adi sasa.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nimekaa nasubiri vile virekodi vyako mkuu, dhidi ya atalanta naona kimyaaaaaaaaaaaa
Naona baada ya liver kukubonda kwenye ligi umeamua kuja kufuta machozi hukuMendy amefungwa goli moja tu hadi sasa kwenye UEFA.
Allison kashabamizwa za kutosha adi sasa.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hii habari njema
Ujamuona Atlanta nini?Naona baada ya liver kukubonda kwenye ligi umeamua kuja kufuta machozi huku
Sevilla uyu aliyekukalisha Europa? Hii Chelsea ya sasa siyo ya kufungwa kizembe mkuu ..inahitaji kujipanga.Allison juzi ndo amefungwa 2. Wewe subiri next week kule Kwa Sevilla ule bao za kutosha
Unajikutaga special mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaandika sana pumba, ifike muda uwe unajishtukia.
Binafsi sitaku-qoute mpaka huu mwaka uishe.
Wachezaji wa looserfool wana thamani ndogo sana. Imajini mchezaji kama huyu ananunuliwa/uzwa kwa ela ya mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chelsea ya sasa ndio imepigwa mbili na liver pale darajaniSevilla uyu aliyekukalisha Europa? Hii Chelsea ya sasa siyo ya kufungwa kizembe mkuu ..inahitaji kujipanga.
Hio bei ni sawa na boxer ya KDBWachezaji wa looserfool wana thamani ndogo sana. Imajini mchezaji kama huyu ananunuliwa/uzwa kwa ela ya mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Graham Potter fanya wikiendi yetu iwe vizuri..
Mkishinda na leo nitaamini majeruhi sio kitu kwa hawa scoosers