Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Najua tutasonga mbele but muhimu sio kuingia 16 bora tu bali kuongoza kundi
Nafikiri hizi dharau ni kwa sababu tuliwafunga 5 game ya kwanza. Tukajua hawa wanafungika tu.
Najua tutasonga mbele but muhimu sio kuingia 16 bora tu bali kuongoza kundi
Mashabiki panueni KY haipo lakini
Habari zenu wakuu?
Natumaini ni wazima wa afya naombeni ushauri kuhusu hili japo ni msichana ambaye nilianza nae uhusiano toka mwaka Jana mwezi wa 8.
Mahusiano yetu yalikuwa mazuri sana na upendo ulionekana kuwepo kwa wote
Tatizo lilianza mwezi wa 11 mwanzoni afya yake ya akili ilipata hitrafu kidogo akawa ni mtu wa kuvua nguo na kuongea yasiyoeleweka .
Jitihada za kumtibu zilifanyika na akaonekana kupona ila toka amepona amekuwa haeleweki Leo mnaweza ongea nae vizuri kesho anakuwa tofauti majibu yanakuwa ya mkato mkato tu yaani kiufupi hasomeki.
Naombeni msaada wa kimawazo ndugu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
AtalantaMkuu tafuta dawa, bado hujapona.
Mkuu tafuta dawa, bado hujapona.
Hizi lugha zinakamilisha utafiti "katika watu watano wawili wanapitia matatizo ya afya ya akili" ndg changamka utapata ulemavu wa kudumu wa akili.Nasikia mmeliwa kiboga.?



Hizi lugha zinakamilisha utafiti "katika watu watano wawili wanapitia matatizo ya afya ya akili" ndg changamka utapata ulemavu wa kudumu wa akili.
Ulichoandika inaonyesha imekuuma sana kujua kuwa tumejua umeliwaHizi lugha zinakamilisha utafiti "katika watu watano wawili wanapitia matatizo ya afya ya akili" ndg changamka utapata ulemavu wa kudumu wa akili.
Jamaa ugenini wapo vzuriiiiii sana UCL na Europa record yao away ipo fresh...Nafikiri hizi dharau ni kwa sababu tuliwafunga 5 game ya kwanza. Tukajua hawa wanafungika tu.
He he he tulishinda ngapiLiverpool hata nikipangwa mimi, tutashinda game, ila nisiwekwe golini.
Naweza kutoka sijagusa mpira hata mara moja na tukawa tumeshinda.
Kuwa na imani mkuu.



Wewe kazi kupiga tarumbeta kwenye jukwaa la wanaume unapita pita na kanga yako moja imelowa maji pumbavuNajua tutasonga mbele but muhimu sio kuingia 16 bora tu bali kuongoza kundi


