Thomas10
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 856
- 2,318
Poa mkuu, hiyo itakua ni kabla ya vijana wa Frank Lampawize kukutoa hapo kileleni mapema kesho

sijawahi kujua km ukishinda derby unapata point5!!!Yan leo nachukua point3, naongoz league kwa point 5 dhidi ya Chelsea, alafu ashinde kesho aje juu




