MPENZI WANGU BAADA YA KUPONA MATATIZO YA AKILI SIMUELEWI

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,694
Reaction score
20,655
Habari zenu wakuu?
Natumaini ni wazima wa afya naombeni ushauri kuhusu hili japo ni msichana ambaye nilianza nae uhusiano toka mwaka Jana mwezi wa 8.
Mahusiano yetu yalikuwa mazuri sana na upendo ulionekana kuwepo kwa wote
Tatizo lilianza mwezi wa 11 mwanzoni afya yake ya akili ilipata hitrafu kidogo akawa ni mtu wa kuvua nguo na kuongea yasiyoeleweka .

Jitihada za kumtibu zilifanyika na akaonekana kupona ila toka amepona amekuwa haeleweki Leo mnaweza ongea nae vizuri kesho anakuwa tofauti majibu yanakuwa ya mkato mkato tu yaani kiufupi hasomeki.
Naombeni msaada wa kimawazo ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu bado hajapona vizuri...so aendelee na dozi aliyokuwa anatumia
 
Habari zenu wakuu?
Natumaini ni wazima wa afya naombeni ushauri kuhusu hili japo ni msichana ambaye nilianza nae uhusiano toka mwaka Jana mwezi wa 8.
Mahusiano yetu yalikuwa mazuri sana na upendo ulionekana kuwepo kwa wote
Tatizo lilianza mwezi wa 11 mwanzoni afya yake ya akili ilipata hitrafu kidogo akawa ni mtu wa kuvua nguo na kuongea yasiyoeleweka .

Jitihada za kumtibu zilifanyika na akaonekana kupona ila toka amepona amekuwa haeleweki Leo mnaweza ongea nae vizuri kesho anakuwa tofauti majibu yanakuwa ya mkato mkato tu yaani kiufupi hasomeki.
Naombeni msaada wa kimawazo ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
bado ajapona huyo mkuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukweli ni mchungu lakini naomba tu niseme.
Kama bado hamjaoana naomba usimuoe. Ingekuwa mmeshafunga ndoa halafu akapata hayo matatizo, hapo usingekuwa na jinsi zaidi ya kuishi naye hadi kifo kiwatenganishe.
Pia jaribu kupeleleza kwenye ukoo wao, kuna koo zingine zina asili ya ugonjwa wa kichaa japo hawavui nguo.
Bado una nafasi, endelea kutafuta mchumba mwingine, huyo naona Mungu ameamua kukuonesha mapema tatizo lake.
Kumbuka amepata tatizo la ugonjwa wa akili, hivyo anaweza hata wakati wa kujifungua akaamua "kunyonga" katoto kake.
Mpatie matibabu lakini USIMUOE.
Mwisho pole sana, kama nimeongea vibaya naomba unisamehe, lakini USIMUOE
 
Nashukuru kwachango wako boss

Similar Discussions

Back
Top Bottom