Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naamin Utakuwa umewahi kucheza mpira au labd unacheza kwa sasa maana sijui umri wako. Unafahamu Kwamba Joel matip anapokuwa kwenye 18 ya adui hatumuhesabii Kwamba ni beki??? Ukilijua Hili nitaendelea vizuri kukuelewesha kuhusu firmino
Silijui hili nijulishe anakua nani?
 
Binafsi naona kama kiwango kimeshuka
Lakini kocha anajua zaidi...
So anapo mpanga tuvumilie..
Ndo maana alimjibu Caragher .. wewe sio kocha..

Klopp somo limeshamwingia, anajaribu kutompa pressure Firmino ila anakubali kwamba jamaa ameshuka.

Tukisema kazi yake siyo kufunga, tutatakiwa kuambiwa labda ni kutengeneza nafasi za magoli na kutoa assists, hivyo vyote vimepungua. Level ya kupoteza possession imeongezeka, level ya kukosa magoli imeongezeka (clear chances).

Kwa yeyote aliyeitazama mechi ya Leicester, atakubaliana na mimi kwamba Firmino amerudi kuweka jitihada za kurudisha makali yake baada ya competition kutoka kwa Jota. Alikuwa so relaxed, na haya maneno ya Klopp pia yanachangia kutowajambisha wachezaji.
 
Kijana ameshuka sana. Hilo halina ubishi.
Hana usongo tena wa kufunga, alijua hana mpinzani maana akina Divok nao ndio balaa tupu
Utaona leo km Divok atafanya la maana! Labda itokee bahati tu
 
Origi yupo kwa ajili mechi kama hizi haha case study vs Everton, vs Bavarians...

Ki ufupi rotation hatukwepi na mechi zipo nyingi sana hivyo Klopp yupo sahihi kabisa kuchezesha hawa wachezaji wa akiba ili kuwapa wengine muda wa ku recover lost energy and game management...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom