Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,471
- 32,922
Next Epl ni damn solid Brighton wako powa sana jamaa..Tukijitahidi kuwa na consistency with this intensity mechi 4 tu watu wataanza kutuogopa, trust me. Who's next?
Hahaha wamemfuatilia kwa miaka miwili aiseee...JOTA!!!!!! whoever Scouted this boy needs atleast a 50% rise of his salary
Halafu mechi ya mapema kabisa, tunahitaji watu wa kuifungua defence yao. Wanaonekana ni watu wa kapaki bus Sana.Next Epl ni damn solid Brighton wako powa sana jamaa..
Itakua full cracker...
With Robertson and Jota in that form sioni wa kutuzuia sasa...
The make of a Champions is finding winning ways when the odds are against us and we have done that in style man..
YNWA
Mm nilishangaa pesa yote ile wametoa bila kujiuliza mara mbili kumbe wanaujua moto wakeHahaha wamemfuatilia kwa miaka miwili aiseee...
Klopp alitaka kwenda na Sarr jopo lake wakamwambia twende na Jota lol hawakakubahatisha...
Uzuri moja wa Klopp ni team player hua anakumbali ushauri wa wasaidizi wake na idara ya scout...
Pep lijnder alikua kocha msaidizi Porto hivyo mtadao wake Ureno ni mpana nayo ilisaidia kumnasa Jota...
YNWA
Tutapiga hizi mbwa znazokuja mpaka zitoe pop soundNext Epl ni damn solid Brighton wako powa sana jamaa..
Itakua full cracker...
With Robertson and Jota in that form sioni wa kutuzuia sasa...
The make of a Champions is finding winning ways when the odds are against us and we have done that in style man..
YNWA
Wamemfatilia kwa miaka minneHahaha wamemfuatilia kwa miaka miwili aiseee...
Klopp alitaka kwenda na Sarr jopo lake wakamwambia twende na Jota lol hawakakubahatisha...
Uzuri moja wa Klopp ni team player hua anakumbali ushauri wa wasaidizi wake na idara ya scout...
Pep lijnder alikua kocha msaidizi Porto hivyo mtadao wake Ureno ni mpana nayo ilisaidia kumnasa Jota...
YNWA
Habari nzuri ni kuwa yule dogo Lamptey alikula umeme juzi so hatakuwepo.A very hard working talent used as right wing back.I like the kid's spirit...Next Epl ni damn solid Brighton wako powa sana jamaa..
Itakua full cracker...
With Robertson and Jota in that form sioni wa kutuzuia sasa...
The make of a Champions is finding winning ways when the odds are against us and we have done that in style man..
YNWA
Dogo namwelewa sana huyu kiukweli siku wanatangaza anatua nilifurahi sana aisee...Wamemfatilia kwa miaka minne
Bwana wee yule dogo aisee ni machini balaa tetesi ni kwamba Juve, Bayern, AT na Barcelona wanamtazama kwa karibu sana...Habari nzuri ni kuwa yule dogo Lamptey alikula umeme juzi so hatakuwepo.A very hard working talent used as right wing back.I like the kid's spirit...
Kwa hii Liverpool labda wapaki treni kama Burnley hahaha ila kama basi hawa watajuta..Halafu mechi ya mapema kabisa, tunahitaji watu wa kuifungua defence yao. Wanaonekana ni watu wa kapaki bus Sana.
Dogo namwelewa sana huyu kiukweli siku wanatangaza anatua nilifurahi sana aisee...
Klopp kashajua namna ya ku survive EPL ni kusajili pia wenye uzoefu na EPL...
Kwa mfano Gini, Mane, VVD, Robertson na sasa Jota na wote hajamwangusha wanapambana sana tu...
YNWA
Bobby mbona alitoka Bundesliga na kakinukisha sana tuUkitaka uharibikiwe ndani ya EPL basi sajili wachezaji wanaotoka BundesLiga, League 1 na Serie A.
Yani wachezaji wanaotoka hizo Ligi ni wachache sana ndiyo utafanikiwa.
Wachezaji wa kuaminika ni wa kutoka hapahapa EPL na LaLiga.
Pia kutoka Netherlands Eredivisie wapo vizuri.
KlinsmanBobby mbona alitoka Bundesliga na kakinukisha sana tu
God was and is with us forever.YNWAMay the spirit of Ray Clemence guide us through to glory vs this stubborn Foxes...
YNWA
Kupata ela ya kumnunua Mbappe naona Keita, Ox, Origi wawe sokoni tu...
Hapa utasikia Keita nje siku 60...
This boy is cursed...pray for him
Habari nzuri ni kuwa yule dogo Lamptey alikula umeme juzi so hatakuwepo.A very hard working talent used as right wing back.I like the kid's spirit...
Bobby mbona alitoka Bundesliga na kakinukisha sana tu
Kabisa nadhani hii pia jopo la usajili nao wanafanya homework yao vizuri sana kwenye ku point hawa wa EPL maana wote wamekua more fire tangu wametua....Ukitaka uharibikiwe ndani ya EPL basi sajili wachezaji wanaotoka BundesLiga, League 1 na Serie A.
Yani wachezaji wanaotoka hizo Ligi ni wachache sana ndiyo utafanikiwa.
Wachezaji wa kuaminika ni wa kutoka hapahapa EPL na LaLiga.
Pia kutoka Netherlands Eredivisie wapo vizuri.