Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Napenda Hii spirit hongera mwana
 
Sio siri kuna Watu kina OX wanakula Mshahara wa Bure pale Liverpool! Yani msimu mzima anacheza Mechi 5 tena anatokea Sub halafu anakula Mshahara wakufa Mtu???
 
Mimi naweza sema yule Keita huko kwao wanampiga misumari. Waafrica tunajijua wenyewe mambo yetu ujue. Kama vipi akawaombe radhi wazee wa kijiji chao. Hatotamba.
 
Hii kweli uenda tulipigwa jana, hahahahahah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona mm naona kama goli au kwenye matumizi ya goal technology mm ndo niko bashite sana?
Sheria inasema mpira hauruhusiwi kugusa mstari hata nukta, kwa picha hiyo mpira bado umegusa mstari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…