Kamugy T
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,110
- 1,226
Wewe timu yako isubiri ubingwa wa EPL pale Klop na Pep watakapokuwa wamesepa
Mnatumia nguvu kubwa sana kucheza hiyo gengen press yenu ndio maana majeruhi yanawakabili kwa wingi.
Ili mshinde taji lingine,lazima Klopp asajili kikosi kizima akiandae kwa ajili ya kugombea taji 2025 huko.
Sikuwahi kujua kama liverpool wana mashabiki wenye kelele hivi,soon mnarudi mafichoni alikowatoa Klopp.
