Juu ya kuwa tuna majeruhi lakini Timu nyengine ni dhaifu kuliko sisi that's why sina wasiwasi.
Mimi shehemu moja tu ikipita majeruhi ndiyo huwa sina amani tena! Guess whom?
Ni ALISSON BECKER.
Mpaka leo ninaamini kuwa Kama ALISSON asingeliumia na angesimama golini kwenye Mechi ya Aston Villa na Everton basi zile mechi tungelishinda mchana kweupeeee.
Haiwezekani tutoe Draw na City ndani ya Etihad then tushindwe kumfunga Everton au tufungwe goli 7 na Aston Villa! Never Never Never Never!
Kitu pekee nilichogundua Washambuliaji wakimkuta Adrian huwa wanakuwa na Uchu wa kujaribu hata nje ya Box that's why Villa walikuwa wakifika nje ya 18 wanaachia golini wanajua utababatiza japo mabeki na kuingia golini.
Na siku ya mechi yetu na City golini angekuepo Adrian nakuhakikishia tungeoga mvua ya magoli.
Hata zijengwe hoja gani za kumlinda Adrian basi kwangu mimi namuhesabu kuwa alituchomesha tu.
Kwahiyo kuumia kwa BECKER kwangu mimi ni tatizo, lakini kwa mchezaji mwengine yeyote basi kwangu hata sina pressure ya Ubingwa! Na ndiyomana hata VVD alipoumia basi sikutetereka najua Alison Becker atasimama on behalf of VVD.
Sababu inayonipa ujasiri sio kwamba tuna Timu nzuri baada ya majeruhi!!! Ni kwamba wengine wapo dhaifu kuliko sisi.