Hope mnamkumbuka Dejan Lovren
Hope mnamkumbuka Dejan Lovren
Atleast alikuwa siyo injury prone kama MatipMkuu na yeye mwenyewe Saizi angekuwa pancha tu.
Niliwahi kusema hapa ya kwamba masuala ya kuuza wachezaji huku hatujasajili ni kitu ambacho binafsi huwa sikubalini nacho na sikiungi mkono kabisa, Lovren pamoja na upuuzi wake kipindi hiki angetufaa sanaHope mnamkumbuka Dejan Lovren
Hope mnamkumbuka Dejan Lovren
Nafikiri Lovren alikuwa mbadala mzuri sana kila mnapomhitaji maana Matip spana mkononi Joel Gomez tia maji tia majiNiliwahi kusema hapa ya kwamba masuala ya kuuza wachezaji huku hatujasajili ni kitu ambacho binafsi huwa sikubalini nacho na sikiungi mkono kabisa, Lovren pamoja na upuuzi wake kipindi hiki angetufaa sana
Hakika mtamkumbuka Lovren maana hata msimu uliopita alicheza mechi nyingi kuliko Matip na Gomez combinedSasa hivi bado tuko kichwa ngumu, mpaka tupigwe ndo tutaanza kukumbuka.
Alikuwa analaumiwa sana akifanya errorNiliwahi kusema hapa ya kwamba masuala ya kuuza wachezaji huku hatujasajili ni kitu ambacho binafsi huwa sikubalini nacho na sikiungi mkono kabisa, Lovren pamoja na upuuzi wake kipindi hiki angetufaa sana
Alikuwa analaumiwa sana akifanya error
Leo hii kawa lulu
Inanikumbusha Vin alivyoodoka Manchester City wakajikuta katika hali kama hii...Mkuu na yeye mwenyewe Saizi angekuwa pancha tu.
Inanikumbusha Vin alivyoodoka Manchester City wakajikuta katika hali kama hii...
Gemu zifuatavyo ni ngumu kwetu kwa hali tuliyonayo pale nyuma..
Vs Leicester
Vs Wolverhampton
Vs Crystal
Vs Tottenham.
Vs Ajax
Vs Atalanta
Vs Newcastle.
Tunahitaji malaika walinzi wawalinde vijana wetu wasiumie tena kwa kweli..
YNWA
Kwa Trent A tutakosa mashambulizi upande ule kwani Milner au Neco kwenye zile klosi kali kali hatutapata...Nina matumaini makubwa madogo Rhy Williams, Nat Phillips na Neco Williams watatupitisha salama kwenye kipindi hiki kigumu
Alikuwa analaumiwa sana akifanya error
Leo hii kawa lulu