Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

City alipewa penalti baada ya Gomez kunawa kwa box, lakini beki wa city kanawa kwenye box hata VAR hajawekwa, haya mambo ya mareferee siyo bongo tu hata ulaya yapo, ile ngoma angekuwa ni liverpool VAR ingesomwa na tungepigiwa penalti
mkuu safari hii wametupania sana,tuongeze nguvu tu kwenye ku score ,mkuu hizo hujuma sio mechi hiyo tu hata huko nyuma, mechi na shelfield united faulo imefanyika nje ya box kabisa yaani iko clear ni nje ya box lakini wanaweka penalty yaani mpaka unashangaa .
 
kuna game najua kwenye marudiano lazima tuchukue point 3 ,hao man city na everton mechi za marudio pale anfield wataacha point 3.
Kabisa Mkuu mechi za marudiano tunao paleeee Anfield Fortress na sioni tukiwaacha aisee....

Kupata draw kwa Everton na Manchester City ni hesabu za kimpira safi sanaaa..

YNWA
 
Mkuu DullyJr hawa Aston Villa ukiwaruhusu wacheze mpira wao basi ujue huna chako na hapa naona wameliamsha kweli...

YNWA
hao sio mchezo,utaishia kutawala mpira kufunga hufungi, arsenal kipindi cha kwanza hawaja piga shot on target hata moja na yuko nyumbani.dak ya 82 arsenal ameshakula 3 bila anashot on target 1
 
hao sio mchezo,utaishia kutawala mpira kufunga hufungi, arsenal kipindi cha kwanza hawaja piga shot on target hata moja na yuko nyumbani.dak ya 82 arsenal ameshakula 3 bila anashot on target 1
Nadhani walivyokwepa kushuka daraja msimu uliopita wamekuja na attack attack inawasaidia sanaaa wanakua hawana uoga

YNWA
 
Nikiangalia Misimu miwili iliyopita ndani ya Etihad tumepoteza Mfululizo.

2018/19
Man City 2 - 1 Liverpool

2019/20
Man City 4 - 1 Liverpool

But:
2020/21
Man City 1 - 1 Liverpool

Hii ina kila dalilllllll
hilo swala ni lakutafutia ufumbuzi, msimu wa 2018/19 kwenye uefa tuliwafunga hapo etihad,sasa hivi imekuwa city akiwa nyumbani atashinda dhidi ya liverpool au draw hiyo draw hapo utakuta city walikosa penalty.ila sisi kushinda haiwezekani . ni dalili nzuri ,ukiangalia na licha ya baadhi ya wachezaji wa liverpool kukosekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom