Samwel Jr
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 1,362
- 960
. Kwakuwa Wewe c mhanga wa Liverpool bc hujuiWewe ! Una chuki ambazo sio za Kimpira dhidi ya Mane na Mohammed Salah
. Kwakuwa Wewe c mhanga wa Liverpool bc hujuiWewe ! Una chuki ambazo sio za Kimpira dhidi ya Mane na Mohammed Salah
hiyo Ni k2 serious KBS Kama huamini angalia wanayoyafanya wao kila mmoja anataka afunge yeye (a.ka) binafsiWanaotuangusha Liverpool are ni mane na salah?? hivi upo serious au typing error?
. Kidogo umenielewa ila utanielewa zaidi cku tutakayo borongaDah! "Wanaotuangusha pale Liver Ni Salah na Mane" pengine una Point hapa hatujui.
. Yani Bobby akifunga naye lazima c ataanza afu ukute game ni ngumu kidogo ili kupata nguvu mpya atatoka Gini na kuingia Jota ndo maana yanguSiku hizi macho yangu yana matege?
Afunge Firminho shida apate Gini?
HOW
. Na historia ndo kila k2 Kama ingekuwa c historia unajua mpaka nw tungekuwa na EPL ngapi? na UEFA ngap?Mzee wa historia
Hiyo ndio furaha ya mashabiki mkuu si ndio maana ya Depth Squad?. Yani Bobby akifunga naye lazima c ataanza afu ukute game ni ngumu kidogo ili kupata nguvu mpya atatoka Gini na kuingia Jota ndo maana yangu
wamepoteza huko.Yes,...kwa ushindi wa jana ni kama tumeshaqualify kwa 16 bora...
Kinachotakiwa kwa leo ni manure yapoteze tena kwa magoli mengi..
Pumbavu zao, siyapendi kama nini
Jamaa unazingua itanilazimu nikuignoreLIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA SIMBA VS KAGERA SUGAR LIVE KUPITIA SIMU YAKO BOFYA LINK HII
Download application | J FOOTBALL & MOVIE TVS
Android application: J FOOTBALL & MOVIE TVS, LIVE TV AND NEWSwww.appcreator24.com
Uko serious mkuu?Ninyi pambaneni ila UEFA itatua London.
#CFC
The Pride of London 💙💙💙
.Kabisa MkuuHiyo ndio furaha ya mashabiki mkuu si ndio maana ya Depth Squad?
Performance ya Jota imetengeneza Teams kwa washabiki (all over the world).
Ukiingia forums za Liverpool za nje, discussion ni hii hii.
mkuu mara nyingi sisi kama mashabiki tunafanana kwenye ushabiki,siotu hilo hata lile la uwezo wa captain kwamba captain uwezo mdogo anabebwa tu.
likizuka huku ujue dunia nzima mashabiki ndio wanaona hivyo,kama vile kwenye malalamiko swala la usajiri kwamba kwanini team haitaki kusajiri.
hata humu pia huo mjadala ulianza mapema kabla ya huko.
tatizo akikaa hapo nyuma ukiesabu pass alizopiga alizorudisha nyuma ndio nyingi kuliko alizopeleka mbele.Henderson ana umuhm wake Sana
Tehtatizo akikaa hapo nyuma ukiesabu pass alizopiga alizorudisha nyuma ndio nyingi kuliko alizopeleka mbele.
liverpool tuna wachezaji wazuri sana kushinda timu zingine,ila tunataka wachezaji wetu wasifanye makosa hata kidogo na wakati makosa ni sehemu ya mchezo.
kuna ile game na flamingo ya klabu world cup, yule kocha wa flamingo baada ya ile mechi akasema henderson ndio kiungo bora duniani. maana kwenye ile mechi alikuwa mwiba sana.
mara nyingi ndio inasadia timu kubadilika, hata kama tunashinda ila ushindi ukiwa hauleweki yaani wa kubahatisha lazima tukosoe maana tuna taka ushindi usio kuwa na pressure yoyote.Teh
Lazima tuwapige spana
Liverpool fans tuna akilimara nyingi ndio inasadia timu kubadilika, hata kama tunashinda ila ushindi ukiwa hauleweki yaani wa kubahatisha lazima tukosoe maana tuna taka ushindi usio kuwa na pressure yoyote.
msimu uliopita kunakipindi tulishinda mechi 10 mfululizo na tuliluhusu goli moja tu, goli dhidi ya wolve. lakini mijadala haikuisha ya kuikosoa timu .timu za wenzetu wakishinda hata kwa ujanja ujanja hawana habari ya kukosoa timu wao wanasifia tu.

Mkuu Ladder 49 Kuna kitu captain anacho sisi hatukioni, Ila tactician wao wanakiona. Wakati sisi tunapohitaji matokeo uwanjani na kwa Aina ya uchezaji wa captain unatufanya kuona anashindwa kusukuma mipira mbele na kuipeleka wide n back. Tena kwa msimu huu zile pass zake kapunguza kwa kiwango kikubwa Sana.tatizo akikaa hapo nyuma ukiesabu pass alizopiga alizorudisha nyuma ndio nyingi kuliko alizopeleka mbele.
liverpool tuna wachezaji wazuri sana kushinda timu zingine,ila tunataka wachezaji wetu wasifanye makosa hata kidogo na wakati makosa ni sehemu ya mchezo.
kuna ile game na flamingo ya klabu world cup, yule kocha wa flamingo baada ya ile mechi akasema henderson ndio kiungo bora duniani. maana kwenye ile mechi alikuwa mwiba sana.