Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

..... Front three yetu Ina uchoyo salah na mane hawawazi for a team na hii disaster tunayo Kuna muda unaona ki mane kbsa kinafnya uchoyo na kinajua kitakabwa

Salah ndo nisiseme

Bora tuwe tunafungwa Ila na sisi tunashinda .... Ujinga Sasa wanaoleta mbele like damn
 
Msimu huu kazi tunayo.... tuko kwenye top 2 ya "injuries mini league":

20201031_010316.jpg
 
..... Front three yetu Ina uchoyo salah na mane hawawazi for a team na hii disaster tunayo Kuna muda unaona ki mane kbsa kinafnya uchoyo na kinajua kitakabwa

Salah ndo nisiseme

Bora tuwe tunafungwa Ila na sisi tunashinda .... Ujinga Sasa wanaoleta mbele like damn
Salah kazidi na huyu ndy kamfundsha mane uchoyo
 
Leo tupo uwanjani boresha VPN yako tukutane hapa tupeane mawili matatu kuhusu Timu yetu manake Bundi wa Injury katung'ang'ania Msimu huu mpaka aimalize First XI yote.

Kuna uwezekano January wale walioondoka kwa Mkopo wakaitwa wote.
 
Hii lineup kuwepo kwa captain kutaongeza uimara wa backline Haswa wale ma center back wetu ambayo haijawahi kucheza pamoja kabla. Heddo anajua kupooza gemu inapokuwa na pressure upande wetu..

Kloop leo katoka hivi
Screenshot_20201031-200537.png
 
Liverpool HALISI hamna mechi rahisi
CL tunahitaji points 3 na bao za kutosha
Liverpool HALISI tuzidi kuwa nyuma ya team
Mkuu wakuache kabisa wewe ndo mwana liverpool khalisi achana na mamluki kama wakina.....(malizia hapo😎😎)

ila Westham tuna jambo letu leo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom