Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hana kitu aisee ....hamna kitu pale

Kwamba zile goal zake mbili za Barca ndo zmetuweka under spell

Anapoteza pasi ku dribble hawezi

Awfully Ani

My man of the match ni shaqir
Watakuja kumtetea hapa muda sio mrefu tena na mapovu kama yote jiande kuchota maji ya Baharini nasikia eti povu halifui dafu
 
Origi hamna kitu pale ni miongoni mwa wachezaji wa hovyo waliobaki liverpool big shark alikuwa at his best leo, firminho bado sio yule tunaemfaham. Jota is soo good ile chance ya wazi aliokosa firminho pale ingekuwa jota pale ni goli tiyar. Kwa huu mfumo big shark aendelee kucheza attacking mid anacheza vizur mnoo
 
Adjustments.jpg
 
Halafu mbele kuna Jota, Shaqir, Minamino na Origi.
Kilikua kikosi sawa...

Klopp has to rotate as much as possible...

Kuna game after every two or three days..

Whats matters we got job done maana kule Ajax na Atlanta wametoka sare..

We are leading the group...

Next ni vs Atlanta tarehe 3/11/20..

Hii kwangu ndio gemu ngumu aisee hawa jamaa ni ever scoring.. They dont fear wapo kama Leeds..

Baada ya hio gemu yao tunakutana na Citizens hivyo Klopp has every right to rotate the players..

Now bring the rejuvenated Hammers..

YNWA
 
Liverpool Halisi is an inexistent football Club founded in JamiiForum in 2019 by a someone thout to be a mental disorder known as Malafyale.
The numbers of it's members are unknown except only founder is known whom claim him self as Liverpool Halisi.
Still we're waiting to see their Logo, Jerzy, Stadium, Coach and thir Headquarter.
And we wanna know in which League they are competing.
Acha kupotosha, sisi halisi tupo na idadi yetu inajulikana
Na ni watu tunaojitambua na tunaheshimika ktk jamii,
 
Hana kitu aisee ....hamna kitu pale

Kwamba zile goal zake mbili za Barca ndo zmetuweka under spell

Anapoteza pasi ku dribble hawezi

Awfully Ani

My man of the match ni shaqir
He's lost confidence and hunger

Hard to keep up the appetite while you continue falling down the pecking order
 
Huyu dogo ni machine haswa, ana utulivu kuzidi hata Gomez. Anastahili kuaminiwa tu, endapo atapata chance hadi december anaweza kuwa miongoni mwa key players wetu katika kikosi cha kwanza kama ilivyokuwa kwa TAA.
huyo dogo anaweza kutushangaza aisee, sitashangaa akimpora namba gomez siku za usoni!
 
huyo dogo anaweza kutushangaza aisee, sitashangaa akimpora namba gomez siku za usoni!
Mkuu kuna hawa madogo wengine Billy kwa sasa majeruhi na Nathaniel wakipata nafasi watatufikisha mbali..

Ki ukweli wenyewe wanamtazama TAA na Jones kama ushahidi hard work na uvumilivu zinalipa kabisa... They will take their chances and prove to the gaffer thier worth.. Sepp kidogo mzito yupo slow fulani fulani..

In Klopp i trust...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom