Baada ya aston villa kuwa bonda kipigo cha mbwa koko, kasha gain confidence anachalaza tu
Anapiga tu![]()
.inaonekana wako vizuri toka zamani.Plancha zimeanza kwenye hii timu, sasa ni mwendo wa vipigo na kutoa draw tu..Reds Thiago kaumia Tena ?
Tulisema sana wakati wa usajili wake,,, jamaa yupo vzr tatizo Ni hizo pancha ! Akiwa fit anadeliver vyema!
Anyway gari ya mkaa, trip shamba, trip gereji !
Ati miezi Saba VVD ?!!! Matip nae pancha, uchochoro Gomez atacheza na fabi !
Mlituotea ile na refa yule huwa haipendi Chelsea. Ngoja tukutane tenaWewe nyau si nimekutandika juzi na kombe nikachukua, unajisahaůlisha![]()
Ukuta imara umetupa makombe ya nguvu sana hivi karibuni..Matip injured again??
Joe Gomez such an awful Center backUkuta imara umetupa makombe ya nguvu sana hivi karibuni..
VVD alicheza mechi zote EPL msimu uliopita...
Allison na VVD ndio sajili zilizokuja kutukamilisha na hatimae kushinda UCL, EPL nk..
Chemistry ya Matip Gomez sijui muujiza upi ufanyike kwanza kuwaokoa kuumia mara kwa mara na pia kuufanya ule ukuta iwe imara...
Kuumia kwa Allison na VVD ki ukweli kunatuweka mbali kimtindo na kutetea ubingwa wetu naona hali itakua ngumu sana na vile vitimu vindogo vimejiimarisha lol..
YNWA
Hivi report kamili zimesema atakaa nje hadi liniKlopp on #LFC helping Van Dijk through his ACL injury: “We will wait for him like a good wife is waiting when the husband is in jail.”View attachment 1605067
Sio official lakini inasemekana ni mpaka June 2021 Mkuu.Hivi report kamili zimesema atakaa nje hadi lini
Robertson ishu ni urefu...Joe Gomez such an awful Center back
Hata sio wa kumtegemea
Mtakuja kufukua makaburi
If possible I think they have to consider Robertson for CB spots that is alongside Either Matip or Fabinho
Man don't even count on Neco at all.Robertson ishu ni urefu...
He is damn short one for that spot..
CB msimu huu mpaka January 2021 tegemea kuona mpaka Hendo akicheza ndugu...
We have been caught pants down this time and we have no one to blame.. Lovren departed yet no major push to sign a new one yet Klopp knew all along Gomez and Matip are prone to frequent injuries...
TAA nae akiumia we are done damn maana Neco aint in his level yet..
We are good when we are a complete unit..
Yajayo yanatisha..
YNWA
Some good news at last Allison ameanza mazoezi leo hivyo upo uwezekano rehab yake ikakamilike kabla ya muda...Man don't even count on Neco at all.
The young lad bado sana