Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,457
- 27,104
Hey Kops! Grujic ameondoshwa ili asizibe nafasi ya Milner kucheza Liverpool 😀😀
Let's wait and see..Kwanini Milner aanze mbele ya Henderson aliyeperfom better previous match?
Anyway.
YNWA
Wakuu naomba kuuliza official statement ya club kuhusu VvD...atakaa muda gani nje?
Tulia ..endelea kuwa mpoleJaros , Cain hahahaaaaa tayari tushaanza kuona vitu vipya
Naona JK kakusikiaKwanini Milner aanze mbele ya Henderson aliyeperfom better previous match?
Anyway.
YNWA
Front 3 Firmino bado haja click and we are hopeful sooooon he get back his best game intact and start firing again..mimi naamini hawa watoto watatuvusha kipindi hiki salama kabisa,, ndio muda wao wa kutuonesha uwezo walioanao!
the most important thing ni front 3 yetu kufunga magoli mengi maana clean sheet zitakua chache
Taarifa za awali ataanza mazoezi mwishoni mwezi wa tatu 2021 hivyo kama kucheza ni mwezi wa nne 2021...Wakuu naomba kuuliza official statement ya club kuhusu VvD...atakaa muda gani nje?