Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
12,083
2,000
Siku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.

Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea

Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Atleast game ya Arsenal ilijulikana watakufa tu kwa Man City.
Jana nilitupia draw zote sema Arse8 mshenzi kanichania ..leo ningemka na 900k
 

Captain Marvelous

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
5,375
2,000
Klopp with his pride was just too proud to sign CB at the right moment
Last season Manchester City lost Vincent and Laporte got injured the rest is history.. The choosen one couldn't defend Pep even sent Fernandinho to play as make shift CB and even him couldn't prevent thier collapse...

Kloop should have taken notes and replace Lovren departure with a better equipped CB and now he finds himself where Pep was last season almost the same number of games...

Well my fellow Red Army be prepared for some very rough time ahead with Gomez game heading south day by day we ain't safe in his hands....the boy has lost defending instincts kama jana when the cross was coming he couldn't anticipate where Calvert would be yaani total mess and Robbo height aint a go vs Calvert and the boy scored... Defender 1st virtue is his super instinct and proper anticipation...

Hope Thiago injury aint for long..

Wish quick recovery to VVD.

YNWA
 

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
10,423
2,000
Siku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.

Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea

Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Atleast game ya Arsenal ilijulikana watakufa tu kwa Man City.
Madrid
Barcelona
Inter

Kufungwa na vitimu vilivyopanda daraja sawa tu, ila arsenal kufungwa na timu kubwa mwenzake ni big ishu
Chelsea wamenusurika nyumbani kwa timu ndogo alafu wana nguvu ya kutunanga, mnapopata hizi nguvu za kujitutumua mtupeleke
 

permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
4,611
2,000
Hili kombe tayari mshalipoteza.
Huu ubingwa tunautetea bila ya wasiwasi wowote.

Kipimo kizuri cha kupima upambaji wa Timu yetu ni mechi ya Jana.

Everton wapo On Fire tena ndani ya Godison Park kushindwa kutufunga na wao kuishia kuchomoa na jinsi tulivyolitawala Dimba ni wazi kuwa bado tuna timu nzuri.

Kiuhalisia ratiba yetu ya Mechi 5 za mwanzo ni very tough kuliko ya Timu yoyote ile kwenye EPL.

Leeds
Chelsea
Arsenal
Villa
Everton

Tumepata points 10 out of 15 sio jambo baya hilo ingawa tulideserve more.

Ukitazama hapo Timu nyengine yoyote haiwezi kupata points 10 out of 15 kwenye ratiba hiyo.
 

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
10,423
2,000
Keppa ni tumbo moja na Karius baba wa Karius na baba wa Keppa ni mtu na mdogo wake.

Imani ilishapotea kitambo ndio maana tukafanya usajili wa Mendy sema mpaja jana alikua bado majeruhi aliumia inernational match.
Mibeki yenu mibovu mnamsingizia kepa.
Onyango mmoja sawa na zouma 9 na Thiago 8 na Christsen 3
 

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
10,423
2,000
Wamejipa ban wenyewe.
Will Jr nimemuona Kule kwa wanaume anajichekesha chekesha.

GGMU
Wanaume? Wamehama ligi,
Screenshot_20201017-224922.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom