Mkuu punguza mahaba, Everton walicheza game nzuri na wameadhibiwa pia kwa foul walizocheza, usimtupie mpira Refa na vAR
Siyo kuchukua ubingwa nasema kuleta changamoto kwenye ligi ikiwezekana kutafuta Top Four.Mapema sana kusema hivyo mechi alizoondoka na point tatu sio za kumfanya achukue ubingwa maana kila mtu atachukua point tatu kutoka hizo timu.
Kashaweka kambani tayariLeo Werner kawekwa kati.
Nilikwambia. Naona kaweka la piliKashaweka kambani tayari
Haya mambo yalisemwa sana kabla dirisha kufungwo lakini ndio hivyoo sasa VVD subiri usikie nje wiki 4 yaaani...Beki wa kati mmoja anahitajika
Anacheza nafasi zote uzuri. Anacheza kama Striker au Wing, so popote atakapo simama kunampa nafasi yaaidha kufunga au kutoa assist. Ndio maana msimu uliopita alikua na double digits kwenye category zote mbili.Nilikwambia. Naona kaweka la pili
OkAnacheza nafasi zote uzuri. Anacheza kama Striker au Wing, so popote atakapo simama kunampa nafasi yaaidha kufunga au kutoa assist. Ndio maana msimu uliopita alikua na double digits kwenye category zote mbili.
Muwe mnatazama mechi wazee. Au wewe umeangalia kwenye channel tofauti na sisi?
Unapoteza nguvu kubishana na shabiki wa Arsenal???? Ni matumizi mabaya ya muda Mkuu.Muwe mnatazama mechi wazee. Au wewe umeangalia kwenye channel tofauti na sisi?
Hii liverpool msimu huu ulisema tokea ligi inamalizika ..hamna timu ya kusimama misimu miwili mfululizo bila ya usajili wa maana.
Juzi mumeburuzwa goli saba leo mumetowa draw ivyo yani trend inazidi kushuka..
Uyo kocha wenu alibeza usajili wa Lampard tulieni muone matokeo
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Ebu kapambane huko upate point. Kutwa upo humu.Hii liverpool msimu huu ulisema tokea ligi inamalizika ..hamna timu ya kusimama misimu miwili mfululizo bila ya usajili wa maana.
Juzi mumeburuzwa goli saba leo mumetowa draw ivyo yani trend inazidi kushuka..
Uyo kocha wenu alibeza usajili wa Lampard tulieni muone matokeo
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]