Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I found this piece somewhere i wonna share...

Vs Villa deflection or not they still had 18 shots at our goal, Arsenal had just 4 and Leeds had 6.
We had just 14 shots, 7 less than we had at Arsenal or Leeds.
Shot to goal conversion rate is also questionable. Ours was just 14% against Villa and Arsenal, 18% against Leeds. Villa's conversion rate against us was 38%, Leeds' conversion rate was 50%.
- that means we would need 50 shots to get 7 goals when Leeds only needed 14.

My take
>If going by the above its means our conversion rate is becoming poorer day by day.. No wonder we all agre Firmino is becoming a useless false 9..

>our mids are no longer accurate and workaholic as they used to be...

>Keita cant protect the back when we are under threat and yet going forward he is offering no single threat..

>we have played 4 games and the rate we are allowing opponents to attack us is really scary, probably the highline and the pockets not well protected..

>Klopp has very little time to put his house in order...

Yajayo yanatisha

YNWA
Hapa Sasa ndio umuhimu wa Heddo unapohitajika. Kuna kitu sisi washabiki hatukioni kwa le captain,. Inajua captain Mara nyingi huwa anacontrol Ile tempo ya game, Haswa kwa zile back n wide passes zake. Amini tu mkuu angekuwepo Heddo tusingepigwa 7.
 
hapa utachagua A or B???........
IMG_20201012_140517.jpg
 
Liver 7

Baada ya kugalagazwa na wahuni wa villar Park sasa mnaenda kukutana na moto mwingine wa gesi
 
Hapa Sasa ndio umuhimu wa Heddo unapohitajika. Kuna kitu sisi washabiki hatukioni kwa le captain,. Inajua captain Mara nyingi huwa anacontrol Ile tempo ya game, Haswa kwa zile back n wide passes zake. Amini tu mkuu angekuwepo Heddo tusingepigwa 7.
Mkuu kama Hendo atakua kiwango na ku offer zaidi ya hawa waliopangwa vs Villa basi kwenye derby acheze pamoja na Thiago..

YNWA
 
Hawa FSG na Glazer family inaonekana wanawaza tu faida kwao tu tangu mwaka 2017 kimya kimya wanafanya mipango kuwashawishi timu zingine kupunguza idadi ya klabu za ligi kuu kutoka 20 mpaka 18..

Pia wanafanya lobbying kufuta Community Cup na Carabao..

Pia wanafanya lobbying kupunguza kubadili upagaji wa kura EPL kutoka ilivyo sasa ambapo mamuuzi yote lazima timu 14 zipige kura ya ndio ili kufanya mabadiliko..one team one vote ndio ilivyo sasa...

Sasa FSG na Glazer family wana lobby maamuzi yawe yanafanywa kwa endapo kura za timu 6 kati ya hizi ambazo ni Liverpool, Manchester United, Manchester City, Chelsea, Arsenal, West Ham, Southampton, Everton na Tottenham watasema ndio..

Wana lobby pia waruhusiwe kuuza game right za kuonyesha mechi 6 kwa msimu nje ya Uingereza tofauti ni ilivyo sasa ambapo ni collective bargaining ya TV right mechi zote EPL.. Kwa hali hii usije shangaa tukaikosa EPL wenye kifurushi cha Compact...

Rick Parry naona anawasapoti..

Na mengine mengi..

Walianza na kuwapiga wafanya kazi furlough mashabiki wakaja juu wakanywea sasa naona full throttle kutala kubadili EPL mazima..

This sounds like a Conspiracy theory to me

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Hio habari ndio ina trend na kwa vile mwezi huu kuna mkutano wa EPL naona hizi taarifa zimekuja wakati mwafaka..

Mkuu hawa FSG wapo kipesa zaidi..

Kwanza wapo sokoni kimkakati soon watakua worth £8bn endapo watafanikiwa kumuuzia mwazilishi wa Moneyball hisa kiasi...

YNWA
 
Hawa FSG na Glazer family inaonekana wanawaza tu faida kwao tu tangu mwaka 2017 kimya kimya wanafanya mipango kuwashawishi timu zingine kupunguza idadi ya klabu za ligi kuu kutoka 20 mpaka 18..

Pia wanafanya lobbying kufuta Community Cup na Carabao..

Pia wanafanya lobbying kupunguza kubadili upagaji wa kura EPL kutoka ilivyo sasa ambapo mamuuzi yote lazima timu 14 zipige kura ya ndio ili kufanya mabadiliko..one team one vote ndio ilivyo sasa...

Sasa FSG na Glazer family wana lobby maamuzi yawe yanafanywa kwa endapo kura za timu 6 kati ya hizi ambazo ni Liverpool, Manchester United, Manchester City, Chelsea, Arsenal, West Ham, Southampton, Everton na Tottenham watasema ndio..

Wana lobby pia waruhusiwe kuuza game right za kuonyesha mechi 6 kwa msimu nje ya Uingereza tofauti ni ilivyo sasa ambapo ni collective bargaining ya TV right mechi zote EPL.. Kwa hali hii usije shangaa tukaikosa EPL wenye kifurushi cha Compact...

Rick Parry naona anawasapoti..

Na mengine mengi..

Walianza na kuwapiga wafanya kazi furlough mashabiki wakaja juu wakanywea sasa naona full throttle kutala kubadili EPL mazima..

YNWA
Naona Serikali ya Uingereza inawazuia , kwenye hii project yao ya Big Picture
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom