Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unamuonea bule huyo kipa benchi lako ndo shida ilipo
Sasa yule Degea analipwa zaidi ya Alson 6 kafungwaje?
 
Klop haamin katika kushindwa


Ndio maana hakubadili mfumo

Aliamin gor zitarudi tu, aliendelea kufunguka tu bila kujari
 
Jana haikuwa siku nzuri kwa wana Liverpool HALISI
Lkn tusikate tamaa na tusimtukane Adrian sababu akifungwa tumefungwa wote!
Wana Liverpool HALISI tuzidi shikamana
 
Cha kusikitisha ni kwamba mpaka hatujasikia zozote kuhusiana na usajili wa golikipa
Hahaha wapo busy kuuza Shaqir, Wilson, Grujic hayo ya jana wala wanaona ni zile having a bad day in the office Hahaha...

Klopp hapangiwi tazama baada ya kuambiwa na master Keane defence yetu ilikua sloppy vs Gunners alivyokuja juu ila sasa jana anakumbali ooh Keane alisema sloppy mbali jana we were bad.. Klopp hua anafanya kinyume kabisa cha hao ma pundits.. Walimwambia enzi za akina Sakho nk bila ukuta madhubuti hashindi chochote UK yeye akawa anakomaa na Karius wake mpaka pale aibu ya fainali vs Madrid yaliyotukuta basi ndio chap chap akaja Allison na tukashinda makombe ya nguvu sana..

Sasa wanamwambia highline inatufanya kua dhaifu tukipigwa kaunta yeye anakomaa nayo hivyo hivyo kwa vile tu hapendi kuambiwa wala kupangiwa..

Nevile na Keane kwa pamoja wameshinda EPL za kutosha na ukiona wanasema hili ni kikwazo kwa Liverpool basi ujue ni kikwazo kweli kweli.. Na haya jana wamesha ya document vya kutosha kwa kifupi we have been sitting on a time bomb na jana was the D day... Klopp ana wiki 2 za kutafakali winning formula kulingana na kikosi alichonacho..

YNWA
 


Umeituma kwenye LFC website??
 
Uwanja wako wa kutawala leo unatufanya unavyotaka
Mkuu natumia nafasi yangu vizuri. Kilichowapata jana ni kama msalaba wa jumuiya unapita kila nyumba. Sasa kwa hii ligi ya msimu huu siombei yatukute ila kama yatatukuta nimeshajiandaa psychologically.

Huu msimu yawezekana mpaka tunafika April haeleweki bingwa. Kuna mengi tunaweza shuhudia huko mbele
 
*Ukiwa Huna Pesa Hasira Zinakujaga Zenyewe! Nimewakuta Watoto Wa Watu Wanacheza Cheza Njiani Nikatamani Niwakate Makofi Halafu Nikimbie![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguza munkali mkuu
 
Liverpool baada ya kazi ngumu ya miaka 3 ya kutafuta Ubingwa wa Premier walipaswa kuongeza wachezaji kati ya wa 5 mpaka 6 ili kuongeza nguvu.
Na kati yao tulipaswa kumpata beki wa kati mwenye nguvu na akili mfano wa Kalidou Koulibaly wa Napoli ili kuimarisha safu ya ulinzi iliyoyetereka.
 
Hapa tunatakiwa kusajili kipa haraka sana, nawahakikishieni endapo tutaenda Goodson park na Adrian kitakachotupata mtu asiniulize
 
Hapa tunatakiwa kusajili kipa haraka sana, nawahakikishieni endapo tutaenda Goodson park na Adrian kitakachotupata mtu asiniulize
Hiyo mechi na Everton naitafakali sana.
Maana Carlo Ancelotti anajua sana kutumia mapungufu ya wapinzani wake.
Kama Klopp hajachukua hatua za haraka kurekebisha mapungufu tutarajie kilio kingine
 
Liverpool vs Villa, our player ratings
Adrian 3

On a weekend of goalkeeping calamities in the Premier League, Alisson's stand-in would have been odds-on to join in and he duly obliged with a fourth minute howler.

Trent-Alexander-Arnold 4

Jack Grealish asked him some tricky questions in defence and he did not always have the answers



Joe Gomez 4

Squared up by Ollie Watkins for his second goal and exposed by Villa's timing of their runs, he endured an evening of shadow chasing.

Virgil van Dijk 5

One of a handful of first teamers to double up after featuring in the Carabao Cup in midweek, the Dutchman wasn't at his sharpest.

Andy Robertson 6

Energetic and industrious down the left, he combined well with Diogo Jota and tested Emiliano Martinez with a stinging shot just before half time.

Naby Keita 4

Some neat touches on the ball but part of a midfield over-run at times by Villa's breaks and replaced at the break.

Fabinho 4

Showed his versatility in defence earlier in the season but back in his familiar midfield holding role, the Brazilian did not provide he cover his defence would have wanted.

Georginio Wijnaldum 5

Helped create Mo Salah's first half goal with an astute pass and the pick of a poor Liverpool engine room.

Roberto Firmino 6

Should have put away a one on one chance with Martinez in the first half but caused Villa problems with his intelligent link play

Mo Salah 8

Another to double up, the Egyptian produced deadly finishes either side of half time but had to hand the limelight to Villa's hat-trick hero Ollie Watkins.

Diogo Jota 5

The £41m signing from Wolves was handed his first Premier League start by Jurgen Klopp in the absence of Sadio Mane and showed up OK considering.

Express

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…