Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi beki ni zilezile au mbona idadi ya magoli yanaongezeka

Tunataka hat-trick ya jack
 
Subiri baada ya mchezo kuna Watu watasema:-

Tumefungwa hajacheza Mane
Tumefungwa hajacheza Henderson

Utadhani wangekuemo wangemsaidia Adrian kudaka

Asa mkuu unataka kubisha kuwa hendo na mane ndo huwa wanaibalance team me naaamin wangekuwepo isingekuwa hiv
 
Hivi hawa watoto wanajua wanacheza na mabingwa kweli?? Wameleta dharau sana kwa kweli
Wanacheza utadhani wako fainali khaaa!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…