Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,119
Wewe ni Liverpool halisi yako khaaLiverpool HALISI hii imeisha,sasa ni next game na Villa
Tuzidi kaa nyuma ya team kuishangilia kwa matokeo yyt yale
Villa will be very hard to beat
........ Ungekua na hisa we jamaa pale majogoo tungepata taabu sanaLiverpool HALISI hii imeisha,sasa ni next game na Villa
Tuzidi kaa nyuma ya team kuishangilia kwa matokeo yyt yale
Villa will be very hard to beat
Ujinga upo nyuma beki znawaza kufunga [emoji23]... Badala ya kuzuiaIla beki zinasababisha presha aisee.
Vice versa is ......Leo ndio leo... KAZI YA MWANAUME HAPEWI MVULANA...
Yaani leo LiverPumbu nikimpiga chache ni 2-0
#COYG
#COYG
FT: Looser fools 1-3 Arsenal
Mark my wordsLiver mtaliwa Leo !!! Mark my words
Can we stop keeping the high line please?? Somebody tell klopp
Sem tena kiburushuti wewe. Una maneno mengi kama Mwajuma kazi hamna.Yani wewe ulishagongwa na Arsenal unakuja kumuomba mke wenzako akusaidie..
Nyie Chelsea na Liverpool ni kama wake wa Dkt. Mwaka mbele ya Arsenal.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Willian angekua mfungaji mzuri Chelsea isingemuacha. Angekua mfungaji mzuri Barca wasingesita sita wangepeleka offer moja moja Chelsea.Arsenal forward line yao inaonekana bora kulinganisha na back line yetu. Any mistake tutaadhibiwa. Gomez amerudi kuchukua nafasi yake, dhidi ya Leeds yeye na kaka mkuu vvd walifanya makosa ya kizembe na kuruhusu magoli mawili.
Auba, Laca na Willian ni moja ya combo ninayoigopa kwa sasa pale epl. Wote ni wafungaji wazuri. Kukosekana kwa Alcatraza hata kwenye bench ni pigo kwetu.
utabiri mzuri ila uligeuza tu nambaLeo ndio leo... KAZI YA MWANAUME HAPEWI MVULANA...
Yaani leo LiverPumbu nikimpiga chache ni 2-0
#COYG
#COYG
FT: Looser fools 1-3 Arsenal
Mkuu hongereni naona mapambano yanaendelea. Kuna mchambuzi alisema kama unaweza kupata points kwa big six una nafasi nzuri kuchukua ubingwa.Tutapambana ndugu hamna namna..
Target ni EPL na UCL..
YNWA
Nina timu tatu tu. Wa kwanza Man City, wa pili Chelsea watatu ni Liverpool. May be Man Utd na Tot wanaweza pambania nafasi ya 4.Nani unampa nafasi ya kuchukua epl?
Mzee ni ushabiki ama? Yaani chelsea hii unaipa nafasi mbele ya liver?Nina timu tatu tu. Wa kwanza Man City, wa pili Chelsea watatu ni Liverpool. May be Man Utd na Tot wanaweza pambania nafasi ya 4.