Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Mkuu wala sijawai sema Leeds alikua mwepesi kwetu mbali alipambana haswa na ki ukweli ilikua gemu powa kwetu kama timu kujitadhamini namna ya kuutetea huu ubingwa...Unaona man city kafa leo utasema nayo siyo timu, Kuna wakati unazidiwa tu. Tatizo hamkubali kuwa vs Leeds mlizidiwa kama siyo zile two penalties tungeandika mengine.
Kuhusu Westbrom yale magoli ni makosa ya mchezaji binafsi hakuna ufundi wowote hata wewe unafunga tu.
#CFC πππ
Mkuu game ya kesho ni muhimu sana kuicheki. Lakini mechi zenu za hivi karibuni mmekuwa mkipata matokeo kutokana na matukio ya uwanjani mfano penati, red kadi ..bila hivyo hakuna matokeo chanya. Mara ya mwisho mlicheza na Arse8 na wakawapiga, sasa tutegemee nini kesho? Alcantara akipiga basi kuliko timu nzima ya Arse8 ππππ?Mkuu wala sijawai sema Leeds alikua mwepesi kwetu mbali alipambana haswa na ki ukweli ilikua gemu powa kwetu kama timu kujitadhamini namna ya kuutetea huu ubingwa...
Usikomae sana na hizo penati kwani hata nyie mliipata Allison akaisoma vyema na kuokoa...
Leo Manchester City kazidiwa kila idara... Ogopa sana pale timu inapopaki basi na kupiga kaunta za kihesabu,.. Ndio yamemkuta leo Pep...
Pep anadai kikosi kina majeruhi wengi... Hii ndio EPL hakuna cha majeruhi wala nini kinachosoma ni pointi 3 tu hayo mengine hayasaidii...
Kesho usikose kuangalia gemu uanze wiki na burudani..
YNWA

Duh asa unataka wachezaji wapigwe kwata ama wakubatiwe aafu wanaofanya hayo makosa waachwe...Mkuu game ya kesho ni muhimu sana kuicheki. Lakini mechi zenu za hivi karibuni mmekuwa mkipata matokeo kutokana na matukio ya uwanjani mfano penati, red kadi ..bila hivyo hakuna matokeo chanya. Mara ya mwisho mlicheza na Arse8 na wakawapiga, sasa tutegemee nini kesho? Alcantara akipiga basi kuliko timu nzima ya Arse8 ππππ?
Hivi unajua kabatini kwa Allison kuna tuzo binafsi ngapi?Kepa na Allison wametofautiana nini? Wote wamefungwa goli tatu.
Mkuu kama mmechoka msiingize timu uwanjani, tulivyoanza ndivyo tunavyomalizaCitizen Anakufa huko yaani Citizen mpira wanaocheza wanaonekana wamechoka kuliko hata sisi ahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha mkuu si tumechoka kidogo ila nguvu inaongezekea kwako leo usikuMkuu kama mmechoka msiingize timu uwanjani, tulivyoanza ndivyo tunavyomalizaView attachment 1583480
Mkuu ushindi dhidi ya Chelsea usikupe tumaini lolote siku mlipiga bomu mochwari.Ushindi na Usajili ni Kitu kitamu kweli Yani! Nimelalamikia usajili kwa Misimu miwili mfululizo lakini usajili wa ALCANTARA mmoja tu na Ushindi dhidi ya Chelsea pekee umenifanya Nijipige Ban ya Muda kuhusu kulalamikia usajili.
Sasa kilio kitabakia kwa Striker tu.
too soon to judgeit seems like some of us who had our reservations about Timo Werner might have been right all day long, or too soon to judge?
Kuwa na heshima wewe. Hukuwa na haja ya kufananisha Kovacic na upuuzi mwingine. Futa Kovacic weka Henderson na FabinhoGuardiola ni Chequebook Manager! Sasa Tajiri wake alipoona FSG hawavamii Soko kumwaga Mamilioni kila Msimu lakini Klopp anashinda Makombe, akaona nayeye kwa Man city Guardiola ataweza, Hivyo kuanzia Msimu uliopita na Msimu huu kaamua kupunguza Budget ya Usajili akiamini bila ya Β£300M alizozowea kumwagia Guardiola kila Msimu ataweza kufanikiwa! Ona sasa [emoji23][emoji23]
Backbone ya Mafanikio ya Man City ilikuwa ni Watu hawa Wanne:-
1) Kompany
2) Fernandinho
3) KDB
4) Aguero
Sasa kabakia KDB peke yake ndiye mwenye uhai, sasa wale kina Rodri na Foden ndiyo ashinde EPL? [emoji16] Wana tofauti gani na kina Joginho na Kovacic? [emoji23]
Mkuu ni mapema sana kusema EPL msimu huu inakuja Anfield ndio kwanza tuko game week 3.Duh asa unataka wachezaji wapigwe kwata ama wakubatiwe aafu wanaofanya hayo makosa waachwe...
Asa utasema aje leo Leicester kapata penati 4 dhidi ya Manchester City...
Kesho tunaingia uwanjani kusaka ushindi na sitegemei kukosa pointi tatu muhimu nyumbani.. Vijana watakomaa mpaka mwisho..
Mkuu EPL hii inatua nyumbani mazima, mark my words..
Mikel amewabadili the Gunners kupata winning mentality kwa hio itakua bonge la mechi...
YNWA
Na huo moto unawawakia leo,Mkuu ushindi dhidi ya Chelsea usikupe tumaini lolote siku mlipiga bomu mochwari.
Moto unakuja, Tulia.
Kwanini Best of luck usiwape Arsenal.
Kuwa na heshima wewe. Hukuwa na haja ya kufananisha Kovacic na upuuzi mwingine. Futa Kovacic weka Henderson na Fabinho
Mkuu kama mmechoka msiingize timu uwanjani, tulivyoanza ndivyo tunavyomalizaView attachment 1583480